Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

Tupe matokeo ya Bawacha, hizo ndio salamu za tarehe 21.
CCM hainaga muda na mambo madogo madogo tena Bwashee

Leo tunajadili Utekelezaji wa Ilani na namna ya kupata Wabunge wa Pemba Kwa 100%

Upinzani umetucheleweshea Maendeleo sana 🐼😂
 
Jamaa anamtetea sana Mugabe Mbowe🤣
Mimi simtetei yeyote, nanyoosha rula.

Lisu ni kiongozi mwandamizi Chadema, mazuri na mabaya yote yeye ni sehemu ya hayo.

Lisu atateka akili za watu wajinga kama wewe.
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Kwahiyo alipewa nyumba yenye vinasaba na ccm
 
CCM hainaga muda na mambo madogo madogo tena Bwashee

Leo tunajadili Utekelezaji wa Ilani na namna ya kupata Wabunge wa Pemba Kwa 100%

Upinzani umetucheleweshea Maendeleo sana 🐼😂
Hawa chakademus watavuana nguo physically

Sio Kwa spana hizi
 
Mimi simtetei yeyote, nanyoosha rula.

Lisu ni kiongozi mwandamizi Chadema, mazuri na mabaya yote yeye ni sehemu ya hayo.

Lisu atateka akili za watu wajinga kama wewe.
Lisu ni kama Mtume Paul zamani Sauli

Amekiri kuhusika kumuuzia Chama Mzee Lowassa na sasa ametubu🐼
 
We phalla unahangaika na ya chadema inakuhusu nini?
Mkabebwe na malori Dodoma🤣🤣🤣
kikwenu kwa mfano hili ni Lori, right?

au uoptoshaji umewalemea gentleman 🐒
 
Attachments

  • downloadfile-32.jpg
    downloadfile-32.jpg
    251.4 KB · Views: 1
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Kumbe Mangi alidanganya!!
 
Huo ni utoto.
Wengi wenu hampati muda wa kusikiliza Lissu kisha mkatoa maoni objectively, mnaishia kubwa negative tu.
Kwanza kumbuka hilo swali Lissu hakusema tu, bali aliulizwa. Akasema kama ni kumshukuru nilishafanya hivyo pale nilipopata hiyo nyumba. Sasa mnataka niwe nashukuru kila dakika kama kumshukuru Mungu. Kisha akasema hata kama Mbowe alinipa nyumba je inakuwa ni sababu ya kutogombea uenyekiti?

Najua unamchukia Lissu kwa sababu hamkubali Magufuli, lakini kubwa mkweli basi
 
Tundu Lissu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini kwa sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dkt. Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Mbowe kusema alimpa Lissu nyumba, soma Mbowe: Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa Lissu

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄

Pia soma
In short, TAML ni mpumbavu wa kiwango cha lami! Kwa nini anatafuta umwenyekiti wa chama kwa kumchafua mwenzie? Sikujua kama Lissu hana busara kiasi hicho!
 
In short, TAML ni mpumbavu wa kiwango cha lami! Kwa nini anatafuta umwenyekiti wa chama kwa kumchafua mwenzie? Sikujua kama Lissu hana busara kiasi hicho!
Wapi alipomchafua?

Mbowe hana uwezo wa kumkabidhi MTU Nyumba ya Serikali

Umewahi kuishi hostel ukiwa chuo au ulikimbia umande? 🐼
 
Wapi alipomchafua?

Mbowe hana uwezo wa kumkabidhi MTU Nyumba ya Serikali

Umewahi kuishi hostel ukiwa chuo au ulikimbia umande? 🐼
Ona mfano unaotoa wewe andazi la CCM? Yaani nyumba za bunge unazilinganisha na hostel za chuo? Dada tumia akili yako vizuri!
 
Back
Top Bottom