Tundu Lissu: Nyumba niliyoishi nilipewa na Katibu wa Bunge Dkt. Kashilila nikiwa kama Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani na Wala siyo Mbowe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tundu Lissu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini kwa sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dkt. Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Mbowe kusema alimpa Lissu nyumba, soma Mbowe: Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa Lissu

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄

Pia soma
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Kashilila ana mamlaka ya kugawa nyumba out of statutory allocation
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Sabato NJEMA Kweli
 
Kwahy hy ndio sababu ya Lissu kupata cheo cha umakamu? Mana Lissu amepata umakamu baada ya lile tukio.

Anyway, kwahy kabla ya Lissu, nani alikuwa makamu?
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Nyumba ya KUB mbowe halafu kuigawa Kashilila awasaliane na Lisu kumpa Sio kweli hapo .Lazima Kashilila aliwasiliana na KuB Mbowe na Mbowe akasema wampe Lisu
 
Tundu Lisu amesema ni kweli aliishi Nyumba aliyopaswa kuishi KUB lakini Kwa Sababu Mbowe alikuwa na Nyumba nyingine tulimwomba Katibu mkuu Dr Kashilila Nyumba hiyo ilaliwe na Kiongozi mwingine wa upinzani

Dr Kashilila akasema anayepaswa kukaa msaidizi wa KUB ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni

Ahsanteni Sana

Nawatakia Sabato Njema 😄
Lisu aache uongo na uoptoshaji,

kiongozi wa upinzani,
anae weza kuinjoy privileges na immunities za umma zinazofanana na za naibu spika, ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani pekee,

hicho anachosema labda anaelezea experience ya ubeligiji anakoishi pamoja na mabwenyenye yanayomfadhili akahisi bado ni mnadhimu 🐒
 
Back
Top Bottom