TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nauliza hivi , hivi Chato ni sehemu ya nchi ya Jamhuri ya watu wa Kenya kiasi kwamba lazima isimangwe kwa kuwa tu imeendelezwa kwa kodi za Watanzania!? Watanzania wanaoishi Chato wamefanya nini kiasi cha kuonewa husuda na Chadema wakati wao hata kabla ya uhuru na baada ya uhuru wamelitumikia taifa hili kwa njia mbalimbali zikiwemo kutoa jasho na damu wakati mwingine kifo bila kusahau kodi?
Chadema semeni ni kipi mtafanya cha maana kwa ajili ya watanzania endapo bahati mbaya sana muda huu mkikabidhiwa madaraka ya watanzania!?
Chadema semeni ni kipi mtafanya cha maana kwa ajili ya watanzania endapo bahati mbaya sana muda huu mkikabidhiwa madaraka ya watanzania!?