Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Nauliza hivi , hivi Chato ni sehemu ya nchi ya Jamhuri ya watu wa Kenya kiasi kwamba lazima isimangwe kwa kuwa tu imeendelezwa kwa kodi za Watanzania!? Watanzania wanaoishi Chato wamefanya nini kiasi cha kuonewa husuda na Chadema wakati wao hata kabla ya uhuru na baada ya uhuru wamelitumikia taifa hili kwa njia mbalimbali zikiwemo kutoa jasho na damu wakati mwingine kifo bila kusahau kodi?

Chadema semeni ni kipi mtafanya cha maana kwa ajili ya watanzania endapo bahati mbaya sana muda huu mkikabidhiwa madaraka ya watanzania!?
 
Hakuna mbuga inaitwa chato ku a burigi national park iliyotokea from burigi game reserve mbona mnazusha sana... Ndo maana nasema huyo lisu hajui hata kuna parks mpya sita ....... Huwez kuwa melewa mwenye kila kitu kubalini anajua sheria ambayo wapo wanao ijua zaid yake pia...
 
Wapuuzi tu ndiyo wataelewa hoja kama hizo za Lissu.

Kwani huko Chato, mmeambiwa ni Wilaya ya huko Kenya ???

Hayati, Mwl. Nyerere, na Mhe. Mwinyi hawakujenga kwao mnawanga sana hadi kesho. Hakika ninyi hamna jema .
Juzi mmoja wenu (Lema) anasema Polisi kuwaacha mmpokee Lisu kwa amani na kuongoza msafara wenu ; akaja na porojo za kuwa kuna kitu kinaendelea. Sababu tu polisi imewaacha kumpokea Lissu

Kwa kifupi, Dr. Magufuli atakuwa Rais awamu anazoweza yeye kuongoza.
 
Mkuu hayo yote ulioandika tayari yalishajibiwa na Mh Lissu mwenyewe. Alisema hivyo vyote vilifanywa na mkoloni lkn havikuwapa uhalali wa kusalia madarakani kwani wananchi walihitaji uhuru kwajili ya maendeleo yao na si maaendeleo ya vitu.
 
Mkuu asubiri naye Mungu mtu amjibu siku yakeikifika,lisu anaonyesha yaliyo madhaifu yaliyotokana na udhaifu wake
 
Haya bwana Tundulisu ila mwambien wanao muelewa ni nyumbu wa chadema tu sababu wao akil zao Zipo Matakon
 

Usitake kutia mpira kwapani mulisema twende kwa hoja sasa kwanini unaumia, ni vyema kuleta majibu hapa kwanini kila kitu chato? wacha Watanzania wajue kila kitu alafu wapige kura kutokana ufahamu wao wakijua wanayemchagua ni nani na atawafanyia nini watanzania.
 
Samahani hivi national park inajengwa asee..... Fanya uchunguz kabla ujaandika basi ile ilikuwa game reserve imepandishwa na kuwa national park tuu.... Kama nyerere national park ilivyotokea under selous game reserve.... Na nyingine nne

Haujaona wanyama wakitolewa mbuga mbali mbali kupelekwa burigi walipojenga hiyo Mbuga? Kwani kujenga unachukulia mpaka kuwe na mchanga,kokoto,cement au tofali? Haujawahi kusikia kujenga uchumi imara?
 
Fuatilia mikutano yake kwenye kampeni, hayo yote utayasikia
 
Hiyo mbuga inapakana na Rwanda kapeleka wanyama pori ili wakizaliana wengine wavuke boda angalau ndugu zake wapate vivutio vya utalii amka Mtanzania asili.
Ilaa wewe na we konyagi ya mavi........Chato na rwanda zinapakana wapi na wapi?? Hata kama jiografia siijui huu ni uongo wa unaotakiwa upigwe mtungo kama gharama za kudanganya umma
 
Ni mpuuzi sana yaaani wamebomoa jengo la Billcanas kwa kumkomoa mbowe halafu wameacha tu open space peupe na kuzungusha mabati tu bila kujua wamekosesha ajira "wanyonge" wauza mitumba ,madereva wa taksi ,wauza supu/chips break point.

Wameharibu mashamba yake ya maua na mbogamboga bila kujua ajira kibao zimepotea pale,wanadhani wanamkomoa mbowe kumbe mbowe anafedha za kutosha hayumbishwi na fitina zao zozote bali wanawaumiza "wanyonge" waliopata ajira kupitia mbowe.
 
Mkuu hayo yote ulioandika tayari yalishajibiwa na Mh Lissu mwenyewe. Alisema hivyo vyote vilifanywa na mkoloni lkn havikuwapa uhalali wa kusalia madarakani kwani wananchi walihitaji uhuru kwajili ya maendeleo yao na si maaendeleo ya vitu.
siasa zinamfanya lissu kuwa na akili ndogoo Sana (zinamdumaza ubongo). Angeendelea na uwakili angesaidia wengi sana huku anakwaza kwakukosa misimamo na kupotosha jamii labda uwakili wake pia ulisheheni uongo na dharau
 
tukirudia kosa again atalipiza kisasi tuseme hapana kwa pamoja
 
Mnameza maneno ya lissu bila kujiongeza kwahiyo ikulu kubwa duniani ilikuwa dodoma? Reli ilikuwepo? Elimu bure pia? Nyerere dam piano? Acheni utoto!!
 
Kwanza kukarabati shule na yote hayo ni wajibu wake, sisi tunamlipa sio hisani.

Kujua Lisu atafanya nini endelea kumfuatilia, mbona una haraka?
 
Unajifanya eti haujaisikiliza hiyo clip. TL ameeleza jinsi atakavyosaidia wakulima. Kasikilize tena. Ni ya dk 13 tu.
 
seedfarm,
Seedfarm ina maana hoja za Tundu Lissu ni uwanja wa ndege Chato na utengenezaji wa mbuga ya Burigi-Chato tu? Kweli Lissu ni mzaha mwingine kwenye kugombea urais Tanzania! TUKUTANE OKTOBA 28!!!
Hiyo ni hoja mojawapo inayotuonesha watanzania kuwa kuna umimi sana kwa viongozi wa CCM
 
Kwa iyo airport na mbuga ya wanyama havina tija, dah, hivi ushafika chato ukaona havina tija? Upinzani mnafeli sana. Unadhani atapata kura kutoka kwa wana chato?
Mbona Dom pamependelewa zaidi.
Lisu hafai kabisa.
Hakuna mtz atakaechagua mateso again,tukirudia kosa tumekwiisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…