Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato



Ndugu Mbegu ya shambani, Tundu Lissu ni kweli watu wote sio wajinga, kwa hivyo naye TL ajue ni hivyo sie sio wajinga. Tokea amekuja na kuchaguliwa kupeperusha Bendera ys Chadema, hakuna Jipya alilokuja nalo, ila ni lile lile la kumshutumu na kumuandama Magufuli.

TL kama anajiona ni mbadala wa Rais Magufuli, atupe kisomo cha atakacho tufanyia tofauti na Magufuli, Maendeleo gani katuletea, Amezunguka Ulaya na USA, lipi lenye manufaa kwa wananchi alilolipata, zaidi ya kufuatilia ya Magufuli.

Pia ajue kuwa yeye ndiye aliyeamshwa kutoka usingingizini, sie tuko macho, tumeyaona mazuri na mabaya aliyoyafanya Magufuli, yeye alikuwa ughaibuni, sisi tumeyaishi.

Hapa hakuna hoja, bali kuna malalamiko na kilio. WATANZANIA WENGI WANOGOPA MWENDO WA LISSU ULIVYO, ANAONYESHA KUJIWEKEZA ZAIDI KWENY KULIPIZA KISASI, ZAIDI YA KUWALETEA WALALA HOI MAENDELEO.
 
CCM wanajua utimam wa wana CDM Uzuri kabisa kuliko hata mimi!

Jiulize ni kwa nini JPM alifunga matangazo ya moja kwa moja Bungeni, kwa nini anaminya vyombo vya habari?

Eti ni kwa nini?!
Ila tunao wanunua kuja CCM kutokea CHADEMA wanakua na akili
 
 
Ni nzuri na kazi kubwa ila ni mkopo wa wold bank umesimamiwa vizuri though. Sio hela ya mfukoni ni hela za watanzania.
 
Na ile trilioni 1.5 nayo unaiweka upande upi wa mahesabu.
 
Namuonea huruma huyo Lissu maana sasa ndio atakwenda kuwajua watanzania hawa kama ni wajinga ama werevu, hahaha..wait and see..akitaka ushahidi aende muulize yule Mange Kimavi ambaye mpaka leo anajuta kuwafahamu watanzania
 
Upande wa kutoa misaada ya gafla ya kujenga hospital shule vyoo masoko na nk upo hapo kamanda mpe salam chapombe mbowe mwambie mwaka huu kwa magufuli hamtoboi iwe juu au chini
Huyo cha Pombe Mbowee ndio kabisaaa kwa sababu hata jimboni kwake wananchi wamemfukuza kwa aibu..hana cha kuwaambia
 

Hajashambuliwa mtu, yanashambuliwa MAAMUZI YA MTU...

Kumbuka kuwa tangu 2015, nchi hii imeongozwa na mtu mmoja anaitwa John Pombe Magufuli...

Kila kilichotendeka tangu wakati huo, nahodha, mwamuzi na muhusika ni yeye.....

Huwezi kusema makosoa na udhaifu wa maamuzi yake bila kumtaja yeye kwa jina lake na kum - connect na kumhusisha na maamuzi yake ama serikali anayoiongoza...!
 
Wewe una mapungufu kichwani. Uliyoyataja, yote hayo yalikwishafanywa na watangulizi wake. Maajabu pekee nadhani ni hayo ua upendeleo na ubinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospitali zote 69 zilizojengwa awamu hii, hazifikii hata thamani ya hospitali moja ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Magufuli mambo aliyoyafanya ni mambo madogo yaliyokuzwa kuwa makubwa. Ni mambo muhimu lakini siyo kwa namna yanavyokuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hizo hoja ajiandae kwenda kuchunga ng'ombe kama Mzee wa rudi nyumban kumenoga(lowasa)
 
Sema utaifanyia nini jamhuri ya muungano wa Tanzania sio kuponda aliyofanya mwenzio.
 
Hakuna hoja alizoibua zaidi ya kupotosha tu! Ni uzuzu mtu aliye na utimamu wa akili kushabikia upuuzi huu! Mleta maada jitafakali Kama fuvu lako limesheheni ubongo au tumor!?
 
Hakuna nidhamu wala nini, ni kuwa watumishi ni waoga! Nidhamu ya woga, wakiachiwa tu watalipiza kisasi!
Hao tutawafix miaka 👊 ijayo! Hatucheki na nyani awamu hii!
 
Tuoneshe jambo 1 la lissu hapa Tz tumsifie na kumpaisha kama Mheshimiwa Rais Magufuli
 
Upande wa kutoa misaada ya gafla ya kujenga hospital shule vyoo masoko na nk upo hapo kamanda mpe salam chapombe mbowe mwambie mwaka huu kwa magufuli hamtoboi iwe juu au chini
Na zile za kununulia wabunge na madiwani ni za fungu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…