Pre GE2025 Tundu Lissu: Rais Samia, Kiongozi wetu Deus Soka Ametekwa, Hajulikani Alipo kwa Wiki Mbili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa JMT mh Dr Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka

Makamu Mwenyekiti huyo wa Chadema ametoa kilio chake ukurasani X

Ahsanteni Sana 🐼

======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka; ni kiongozi wetu wa chama katika wilaya ya Temeke. Tarehe 26 Julai alikuja kunipokea Dar International Airport niliporudi safari ya Ulaya. Sasa, baada ya vitisho vingi, watu wako wamemteka nyara. Hajulikani alipo kwa zaidi ya wiki mbili

Waliomteka nyara wanajulikana. Ni watu wa kikosi kazi chenye makao makuu yake nyuma ya Kituo cha Polisi Chang'ombe, Dar es Salaam. Kikosi kazi hiki ni kundi la maharamia, hata kama wanajiita askari polisi au usalama wa taifa na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu. Ni kundi haramu.

Kwa Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyo leo, wewe, Rais Samia, unahusika moja kwa moja & maharamia hawa. Sheria hiyo inasema wanawajibika kwako. Wote wako chini ya mamlaka yako kikatiba & kiutendaji. Mimi nasema wewe ndiye unayewatuma wafanye uharamia wao kwa wananchi.

Nakusihi kwa moyo wangu wote: usijesahau ya mtangulizi wako & kikosi kazi chake cha 'watu wasiojulikana.' Yeye alikufa huku damu ya Ben Saanane & ya Azory Gwanda & ya Simon Kanguye ikimlilia. Angalia yasije yakakufika yaliyomfika. Mrudishe Deus Soka & wenzake wakiwa hai & salama

Pia soma:Kuelekea 2025 - Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
Karma itamtafuna Samia kama ameanza kuiga mambo ya mwencazake
 
Kama wamejua kikosi kazi Kiko chang'ombe watuambie na majina ya watekaji ili wananchi tuchukue hatua ya kuwaadhibu haraka iwezekanavyo.Inaonekana hao watekaji elimu zao ni za hovyo sana maana mtu anayetekeleza mambo ya kijinga mara nyingi elimu yake ni Zero kabisa
 
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa JMT mh Dr Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka

Makamu Mwenyekiti huyo wa Chadema ametoa kilio chake ukurasani X

Ahsanteni Sana 🐼

======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka; ni kiongozi wetu wa chama katika wilaya ya Temeke. Tarehe 26 Julai alikuja kunipokea Dar International Airport niliporudi safari ya Ulaya. Sasa, baada ya vitisho vingi, watu wako wamemteka nyara. Hajulikani alipo kwa zaidi ya wiki mbili

Waliomteka nyara wanajulikana. Ni watu wa kikosi kazi chenye makao makuu yake nyuma ya Kituo cha Polisi Chang'ombe, Dar es Salaam. Kikosi kazi hiki ni kundi la maharamia, hata kama wanajiita askari polisi au usalama wa taifa na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu. Ni kundi haramu.

Kwa Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyo leo, wewe, Rais Samia, unahusika moja kwa moja & maharamia hawa. Sheria hiyo inasema wanawajibika kwako. Wote wako chini ya mamlaka yako kikatiba & kiutendaji. Mimi nasema wewe ndiye unayewatuma wafanye uharamia wao kwa wananchi.

Nakusihi kwa moyo wangu wote: usijesahau ya mtangulizi wako & kikosi kazi chake cha 'watu wasiojulikana.' Yeye alikufa huku damu ya Ben Saanane & ya Azory Gwanda & ya Simon Kanguye ikimlilia. Angalia yasije yakakufika yaliyomfika. Mrudishe Deus Soka & wenzake wakiwa hai & salama

Pia soma:Kuelekea 2025 - Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
Watanzania mnaongeaga sana, mnalia sana, kuna kitu lazima muwe mnakijua katika maisha yenu: Sometimes you need to fight to be a man. Maisha hayana maana kama utadharauliwa hata mbele ya watoto wako ndiyo maana tarehe 25/December/1971 yule mwamba wa kwetu alipoona kadharauliwa mbele ya mkewe na watoto akaona upuuzi na ku-pull trigger
 
.....DP WORLD....

Kwa mwezi tunaingiza trilioni 26....

Wakati wa ile tenda ,wazungu wa Ubelgiji hawakuwepo nao wakaingia katika ushindani wa zabuni?!!

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Is it my eyes?
Bajeti ya Tz kwa mwaka Ni trilioni 49.
DP world wanaingizaje b 26 kwa mwezi?
Asking for a friend.
 
Muulize Lussu. Unafikiri ataenda kizimkazi bila passport?

Kwani Mzanzibari mnyaturu yule?
Akafanye nini huko? Nyie wanzanzibari wote weusi mlitoka bara baada ya kuonekana afya zenu siyo nzuri kuendelea na safari ya uarabuni na Americas. Mlikuwa na heshima nyie? Mshukuruni yule Mshirazi- Abeidi alimpigia simu Julius ili awaokoe. Mngekuwa manamba hadi leo mnalima karafuu zao na kucheza umbrella dance
 
Wanasema mitano tena wakati utekaji umetamalaki, si bora akapumzike ili waje wengine watafute dawa ya watekaji ili ikomeshwe.
Na utekaji hautokoma ndani ya CCM. Chama kinabariki hayo mambo akiwemo kiongozi wake.
 
Ipo siku tutakuja kusikia na samia naye katekwa.maana kama waziri wa ulinzi hajui watekaji,waziri wa mambo ya ndani hawajui watekaji,CDF hawajui watekaji,IGP hawajui watekaji.DG wa usalama wa taifa hawajui watekaji.
Watamuhakikishia samia usalama wake kweli?
Uko na haja usikilizqe
 
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka

Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ametoa kilio chake ukurasani X

Ahsanteni Sana 🐼

======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka; ni kiongozi wetu wa chama katika wilaya ya Temeke. Tarehe 26 Julai alikuja kunipokea Dar International Airport niliporudi safari ya Ulaya. Sasa, baada ya vitisho vingi, watu wako wamemteka nyara. Hajulikani alipo kwa zaidi ya wiki mbili

Waliomteka nyara wanajulikana. Ni watu wa kikosi kazi chenye makao makuu yake nyuma ya Kituo cha Polisi Chang'ombe, Dar es Salaam. Kikosi kazi hiki ni kundi la maharamia, hata kama wanajiita askari polisi au usalama wa taifa na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu. Ni kundi haramu.

Kwa Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyo leo, wewe, Rais Samia, unahusika moja kwa moja & maharamia hawa. Sheria hiyo inasema wanawajibika kwako. Wote wako chini ya mamlaka yako kikatiba & kiutendaji. Mimi nasema wewe ndiye unayewatuma wafanye uharamia wao kwa wananchi.

Nakusihi kwa moyo wangu wote: usijesahau ya mtangulizi wako & kikosi kazi chake cha 'watu wasiojulikana.' Yeye alikufa huku damu ya Ben Saanane & ya Azory Gwanda & ya Simon Kanguye ikimlilia. Angalia yasije yakakufika yaliyomfika. Mrudishe Deus Soka & wenzake wakiwa hai & salama

Pia soma: Kuelekea 2025 - Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
Jamaa kumbe alikuwa anashirikiana na watekaji.
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Back
Top Bottom