Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ulaya...Unataka kufa na wivu
Tundu Lissu wa wazungu wa Ubelgiji....
Ok mkuu.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulaya...Unataka kufa na wivu
Samia wa Waarabu UarabuniUlaya...
Tundu Lissu wa wazungu wa Ubelgiji....
Ok mkuu.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama sababu za matendo hayo ni uchaguzi, basi tuna wanasiasa wajinga sana, wasiofaa kwa nyakati hizi za sayansi na teknolojia.Siku moja nilikumbuka zile theories nikiwa student wa mlimani miaka ile ambazo hufundisha kuangalia genesis na causes na si effects, nikasema kuna nini kiko mbele muda huu nikaona kumbe shida kubwa ni uchaguzi , watu wanatekwa na kuuawawa, wengine wanalawiti vitoto, wengine wanauana na kunyofoana viungo!
African bloody elections are cursed!!
Bora uchaguzi upite tubaki salama!!
.....DP WORLD....Samia wa Waarabu Uarabuni
Samia anatakiwa asafishe vyombo vyake vya usalama.Ni lini Tanzania itakuwa na amani ya kweli?.
Ndoto za kuzimu ,ninyi mashetani si wa kuwaamini kila msemalo!samia 2025 kuna kifo nimeota kwake tena kile kama angekuwa mama mkwe kwako
maneno mazito sana haya!, they have something to do with karma.Simba wa Kizimkazi Tundu Lissu amepeleka kilio kwa Rais Samia juu ya kutekwa kwa Deus Soka
"Nakusihi kwa moyo wangu wote: usijesahau ya mtangulizi wako alikufa huku damu ikimlilia. Angalia yasije yakakufika yaliyomfika".
Usiombe machozi ya watu wa chini kabisa yakakulilia kimya kimya . Huyu bibi kizee kuna kitu anayafuta na atakipatamaneno mazito sana haya!, they have something to do with karma.
p
Aliyeasisi CCM ni nyerere hayupo sasa na bado CCM ipo.. je hapa waweza sema nini tenaYes, mgekubali kuungana pamoja kipindi kile tunawaambia Dkt Magufuli hahusiki anasingiziwa ila kuna kikundi cha wahuni wanaochafua taswira yake mlikataa na kushangilia mkisema mtekaji kafa ila sasa mnaanza kulia lia
Sio bibi kizee ni Bibie tuu!, ana uzee gani?, Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?Huyu bibi kizee
Mama Dr Samia Suluhu Hassan asaidie viongozi hawa wapatikaneSimba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa JMT mh Dr Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka
Makamu Mwenyekiti huyo wa Chadema ametoa kilio chake ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼
======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka; ni kiongozi wetu wa chama katika wilaya ya Temeke. Tarehe 26 Julai alikuja kunipokea Dar International Airport niliporudi safari ya Ulaya. Sasa, baada ya vitisho vingi, watu wako wamemteka nyara. Hajulikani alipo kwa zaidi ya wiki mbili
Waliomteka nyara wanajulikana. Ni watu wa kikosi kazi chenye makao makuu yake nyuma ya Kituo cha Polisi Chang'ombe, Dar es Salaam. Kikosi kazi hiki ni kundi la maharamia, hata kama wanajiita askari polisi au usalama wa taifa na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu. Ni kundi haramu.
Kwa Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyo leo, wewe, Rais Samia, unahusika moja kwa moja & maharamia hawa. Sheria hiyo inasema wanawajibika kwako. Wote wako chini ya mamlaka yako kikatiba & kiutendaji. Mimi nasema wewe ndiye unayewatuma wafanye uharamia wao kwa wananchi.
Nakusihi kwa moyo wangu wote: usijesahau ya mtangulizi wako & kikosi kazi chake cha 'watu wasiojulikana.' Yeye alikufa huku damu ya Ben Saanane & ya Azory Gwanda & ya Simon Kanguye ikimlilia. Angalia yasije yakakufika yaliyomfika. Mrudishe Deus Soka & wenzake wakiwa hai & salama
Pia soma:Kuelekea 2025 - Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
Sijui kama waTanzania wana ufahamu ukweli huu.Naogopa akipewa motano tena hiyo 2025. Kama pamoja na hofu ya uchaguzi hiyo 2025 anaweza kuwa katili kiasi hiki, akiwa hana cha kupoteza nani atamfunga speed governor?
Mnachafua wenyewe then mnasingizia watu.Kazi za akina Makamba Cop ndio zimeanza lasimi bado picha za viroba baharini,watafanya kila mbinu mpaka wahakikishe Samia 2025 amechafuka, kama walivyokuwa wakifanya enzi za Magufuli, vita lasimi ya kiti cha urais ndio zimeanza, lakini Samia mwache nae haionje maana ndiye waasisi wa haya mambo mpaka Magufuli alikuwa mpaka alikuwa analalamika siri za Serikali yake kuvujishwa,kumbe kikulacho.
AminaHata hivyo,
Hatutaogopa,
Wala kutishwa ,
Hadi pale Giza la UOVU litakapoondoka juu ya anga la nchi yetu nzuri tuipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Aninasamia 2025 kuna kifo nimeota kwake tena kile kama angekuwa mama mkwe kwako
Kwahiyo unataka kusema kijana hajapotea?Kazi za akina Makamba Cop ndio zimeanza lasimi bado picha za viroba baharini,watafanya kila mbinu mpaka wahakikishe Samia 2025 amechafuka, kama walivyokuwa wakifanya enzi za Magufuli, vita lasimi ya kiti cha urais ndio zimeanza, lakini Samia mwache nae haionje maana ndiye waasisi wa haya mambo mpaka Magufuli alikuwa mpaka alikuwa analalamika siri za Serikali yake kuvujishwa,kumbe kikulacho.
Maelezo yako yamejaa uongo mwingi.Yes, mgekubali kuungana pamoja kipindi kile tunawaambia Dkt Magufuli hahusiki anasingiziwa ila kuna kikundi cha wahuni wanaochafua taswira yake mlikataa na kushangilia mkisema mtekaji kafa ila sasa mnaanza kulia lia