08 May 2024
Mpwapwa, Dodoma
TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI
Source : the chanzo
Ndiyo maana wamekuwa wakali baada ya njama za kutumia rushwa kuingilia uchaguzi wa ndani niliosema kule Iringa anasema Tundu Lissu mbele ya umma wa wakazi wa Mpwapwa waliojitokeza katika mkutano wa CHADEMA leo
"Wananchi mmesikia jinsi mzee Abdulrahman Kinana kule Dodoma alivyokuwa mkali baada ya sisi kukemea rushwa ya CCM" anasema makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu.
Pia bungeni Nape Nnauye, Halima Mdee wamekuwa wakali kuhusu rushwa ya kuunga juhudi ...... Historia inaonesha CCM rushwa ni jadi yao walimnunua Dk. Walid Kaburu kule Kigoma miaka 20 iliyopita mzee Idris, Dr. Vincent Mashinji, Dr. Wilbrod Peter Slaa n.k wote walinunuliwa hivyo tunayosema sasa na kule Iringa ni kupiga vita ya rushwa ndani na nje ikiwemo ya CCM , sisi CHADEMA tunaamini rushwa ni adui wa haki wao CCM hawapingi ndiyo maana ....