Pre GE2025 Tundu Lissu: Samia anaposema kazi iendeee maana yake kazi ya Magufuli iendelee. Hakutakuwa na Uchaguzi bila mabadiliko

Pre GE2025 Tundu Lissu: Samia anaposema kazi iendeee maana yake kazi ya Magufuli iendelee. Hakutakuwa na Uchaguzi bila mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili zenyewe za kung'amua mambo unazo?
Toka lini kiroboto ukawa na akili ya kuona au kusikia?
DEVOTA MINJA anawaambia watu wasogee karibu na watu hawataki wanaendelea na kazi zao tu:pedroP:
 
Hivi hata hiyo Live yeyewe unaiangalia?
yes,
alute anazungumza saiv,

devota alivyotuambia tusogee karibu na mkutano nikasoge karibu kabisa jukwaani, lakini niko live zaid na uchaguzi wa AUC :pedroP:
 
Viva Tundu Lissu viva.
Viva John Heche viva.
Viva Chadema viva.
 
Back
Top Bottom