Pre GE2025 Tundu Lissu: Samia anaposema kazi iendeee maana yake kazi ya Magufuli iendelee. Hakutakuwa na Uchaguzi bila mabadiliko

Pre GE2025 Tundu Lissu: Samia anaposema kazi iendeee maana yake kazi ya Magufuli iendelee. Hakutakuwa na Uchaguzi bila mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Daah, Lissu Yuko kwao, nyomi la watu hakuna hata kwa kutema mate.
Serikali ipeleke ambulance kwa tahadhari jamani
 
Chaka la MUDA la wana CCM kujifichia lishachomwa moto!!
Hakuna manadiliko uchaguzi HAUPO.
.Watanganyika wapo tayari kumpa Samia miaka hata 2 as long as Serikali yake itakuwa radhi kufanya hayo mageuzi.
 
Back
Top Bottom