LGE2024 Tundu Lissu: Samia hana tofauti na Magufuli, tofauti ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi.
 
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Huijui sera ya CHADEMA ya majimbo??
 
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
 
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Yote hayo ni baada ya katiba mpya!
 
Huyu jamaa ni hasara Kwa chama na taifa,sijui chadema wanakwama wapi kumpa coverage hayawani kama huyu!!!?
 
Akimaliza kuropoka anaenda kupanda SGR mbwa huyu
 
Back
Top Bottom