LGE2024 Tundu Lissu: Samia hana tofauti na Magufuli, tofauti ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi

LGE2024 Tundu Lissu: Samia hana tofauti na Magufuli, tofauti ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
siijui inasemaje
 
Shida ya Lissu ni kuamini watanzania wanamchukia Magufuli, kama anavyomchukia yeye.

Embu aongee na bloggers ambao wana-interact na watanzania wakawaida wamueleze matusi wanayokula wakiamuandika vibaya.

Mkipata majukwaa muongee ujinga, halafu mkitoka hapo muanze kulaumu watanzania kufuatilia Simba na Yanga, kuliko siasa.

Watanzania sio wapuuzi sio kwamba wanafurahishwa na shida (ila washazoea kuishi nazo), kwenda kuwaambia mtu ambae alikuwa mwokozi wao ni shetani, Ni bora watafute njia nyingine za kutoa mawazo kama mpira au umbea, kuliko kusikiliza ujinga wa wanasiasa.
 
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
 
Ya
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Yani wazungumzie porojo waache mambo yanayotokea katika uhalisia wake? Samia kweli anatumia hongo kurubuni watu mfano uchaguzi mdogo wa magufuli hautatofautiana na huu wa kwake.
 
Back
Top Bottom