Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
kwani hujawazoea!Hizo ndio sera?
Wewe unataka sera zipi??Hizo ndio sera?
Wewe unataka sera zipi?kwani hujawazoea!
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekedeWewe unataka sera zipi?
Huijui sera ya CHADEMA ya majimbo??zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
siijui inasemajeHuijui sera ya CHADEMA ya majimbo??
Tuseme sio sera..Hizo ndio sera?
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Kama hujasiki sera hapo rudi shule, MEMKWA bado zipo wazi!Hizo ndio sera?
Yote hayo ni baada ya katiba mpya!zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Mimi nataka au wao ndio wanapaswa kusema alafu mm na wengine tuone kama zinafaa?Wewe unataka sera zipi??
Hakuna sera hapoKama hujasiki sera hapo rudi shule, MEMKWA bado zipo wazi!
MEMKWA inakuhusu!Hakuna sera hapo
Mheshimiwa ....kama ni kweli anachosema Lissu wewe unaona sio issue?....Hizo ndio sera?
siijui inasemaje