Kumbe nae ni Bora kama magufili tuAkiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi.
View attachment 3158066
Unapewa nchi kwa katiba ipi?tumia akili basizenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
siijui inasemaje
Huwezi kuleta sera kwenye uchafu, lazima usafishe kwanzaHizo ndio sera?
zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Wanapewa nchi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? 🐼zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Yani wazungumzie porojo waache mambo yanayotokea katika uhalisia wake? Samia kweli anatumia hongo kurubuni watu mfano uchaguzi mdogo wa magufuli hautatofautiana na huu wa kwake.zenye dira yakujenga taifa kama namna gani wakipewa nchi watapambana na umasikini, tatizo la ajira,watakuza vipi uchumi wetu na mengine kedekede
Mnatuchanganya, wenzako wanasema hizo ndio sera zenu. Which is which?Huwezi kuleta sera kwenye uchafu, lazima usafishe kwanza
Ukweli acha usemwe tuAkiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi.
View attachment 3158066