Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.
Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.
Chama hakiwezi ku-risk kutoa hela zake wakati kinajua kuwa hakishindi kwa hiyo kuna wakati inatakiwa Mbowe asilaumiwe hata kwa kumkaribisha Lowassa.