Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.

Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.

Chama hakiwezi ku-risk kutoa hela zake wakati kinajua kuwa hakishindi kwa hiyo kuna wakati inatakiwa Mbowe asilaumiwe hata kwa kumkaribisha Lowassa.
 
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
 
Kwani Kule Zanzibar wote waliogombea watapitishwa? Tuwaache chadema waamue nani watampitisha, ikiwa lissu saw a, ikiwa nyarandu sawa. Kwa upande Wa pesa naamini atachangiwa tu akipitishwa na chama chake kugombea, kwani Slaa alikuwa na pesa gani?
 
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.

Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.

Chama hakiwezi ku-risk kutoa hela zake wakati kinajua kuwa hakishindi kwa hiyo kuna wakati inatakiwa Mbowe asilaumiwe hata kwa kumkaribisha Lowassa.
Wagombea wote wa Chadema hawana fedha ndio maana wamemualika Membe!
 
Back
Top Bottom