Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Naona hiki kiswahili ni cha mtu aliyeandika akiwa anakata gogo.Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
Mada za vichaa kama hawa huwa naziepuka sana.Nigrastratatract kukosa pesa kwa Lissu kukuume wewe kwani wewe ni hawara?
Wagombea wote wa Chadema hawana fedha ndio maana wamemualika Membe!Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.
Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.
Chama hakiwezi ku-risk kutoa hela zake wakati kinajua kuwa hakishindi kwa hiyo kuna wakati inatakiwa Mbowe asilaumiwe hata kwa kumkaribisha Lowassa.
Tofautisha ACT na Chadema wewe saa mbovu.Wagombea wote wa Chadema hawana fedha ndio maana wamemualika Membe!
Umemsikia J J Mnyika jana?!Tofautisha ACT na Chadema wewe saa mbovu.
Kasema atapitishwa mwanachadema anayekubalika na wengi, sasa huyu mccm wenu Membe anahusikaje na mchakato wa Chadema? Hivi mbona maccm mnamhofia sana Lissu?Umemsikia J J Mnyika jana?!
Pesa sabuni ya roho mkuu wanasiasa wa Upinzani Duniani wanaozitikisa serikali zao wote mabilioneaNigrastratatract kukosa pesa kwa Lissu kukuume wewe kwani wewe ni hawara?
kwani jpm alitumia za nani??
Lissu ni bilionea wa watuPesa sabuni ya roho mkuu wanasiasa wa Upinzani Duniani wanaozitikisa serikali zao wote mabilionea
Pesa sabuni ya roho jamani tuache utaniKasema atapitishwa mwanachadema anayekubalika na wengi, sasa huyu mccm wenu Membe anahusikaje na mchakato wa Chadema? Hivi mbona maccm mnamhofia sana Lissu?
Najua unampenda Lisu lakini hana hata hela ya kuweka mafuta ya kuzunguka hata mikoa 2Lissu ni bilionea wa watu