Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Pesa sabuni ya roho ndugu yanguLissu ni bilionea wa watu
Nimeshakuambia watu wake wanao mpa support wana helaNajua unampenda Lisu lakini hana hata hela ya kuweka mafuta ya kuzunguka hata mikoa 2
Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
TL wala hahitaji kampeni kubwa
TurujrrtMtamaliza theories zote za kilumumba lumumba lakini ndivyo hivyo msiyemtaka ndiye atapeperusha bendera ya Chama dume. Wakubwa wako wakisikia jina lake tu mavi yanagonga chupi.
Mataga wana mpini nduguMataga kaeni kwa kutulia sindano iwaingie vizuri.
Hyuttvy vcTundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.
Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.
Chama hakiwezi ku-risk kutoa hela zake wakati kinajua kuwa hakishindi kwa hiyo kuna wakati inatakiwa Mbowe asilaumiwe hata kwa kumkaribisha Lowassa.
Kelele zote hizi ni Lissu tu, sasa ndiyo yeye atapeperusha bendera kama hamtaki kufeni tu.Pesa sabuni ya roho ndugu yangu
Tulia sindano ikuingie vizuri kabisa.Mataga wana mpini ndugu
Nani awekeze kwenye hamna yaani unawekeza kwenye hewa ukiambiwa akina lowassa walipendwa mpaka na mifumo si kwamba walipendwa wao zilipendwa hela zaoNimeshakuambia watu wake wanao mpa support wana hela
Tuliza mshono usubiri mudaNani awekeze kwenye hamna yaani unawekeza kwenye hewa ukiambiwa akina lowassa walipendwa mpaka na mifumo si kwamba walipendwa wao zilipendwa hela zao
Na akipeperusha TL bendera hapati hata Diwani mmojaKelele zote hizi ni Lissu tu, sasa ndiyo yeye atapeperusha bendera kama hamtaki kufeni tu.
Pesa mama mm mwenyewe nikikutumia hela ya kukwaa pipa tayari hata hormone zinakusisimua chezea hela weweTuliza mshono usubiri muda
Uchange hela wewwe unaijua kampeni weweTutachanga km tulivyomchangia MATIBABU baada ya serikali hii ya kishetani kukataa kumtibu
Sasa si ndiyo furaha yenu hiki kiherehere cha nini tena? Wakubwa wenu wanaojua kinachoendelea hawalali pacemaker inakaribia ku crushNa akipeperusha TL bendera hapati hata Diwani mmoja
Mimi Sina shida na pesa yakoPesa mama mm mwenyewe nikikutumia hela ya kukwaa pipa tayari hata hormone zinakusisimua chezea hela wewe
Dada utajua nini maana ya siasa na utajua Chadema ni Mali ya nani nadhani watu hamjui kutofautisha peremende na pipiTuliza mshono usubiri muda