Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

Acha kutudanganya.. mnajua hawezi kushinda.
Vipi ugeni hamuupati.. uchaguzi huu wa 2020? Chadrama wapenda pesa kwanza.. wananchi kwa list yenu.. ni mabaki tu.. Last but one..
TL wala hahitaji kampeni kubwa
Mtamaliza theories zote za kilumumba lumumba lakini ndivyo hivyo msiyemtaka ndiye atapeperusha bendera ya Chama dume. Wakubwa wako wakisikia jina lake tu mavi yanagonga chupi.
Turujrrt
 
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.

Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.

Chama hakiwezi ku-risk kutoa hela zake wakati kinajua kuwa hakishindi kwa hiyo kuna wakati inatakiwa Mbowe asilaumiwe hata kwa kumkaribisha Lowassa.
Hyuttvy vc
 
Kanuni muhimu kwa Saccos yoyote ni kwamba unakopa mara tatu kwa kiasi ulichowekeza. TL naona anataka mkopo mkubwa wakati Amana yake ndogo.
 
Anawaumiza kweli huyu Lisu kwenye kamati zenu za kiuchawi. Tangu aponee chupuchupu zile risasi za Bashite alipotumwa na baba yake mnateseka sana.
Tangu lini wewe ulikuwa mshauri wa CHADEMA?
Mwambieni huyo kilaza wenu kuwa Segerea inamsubiri ni suala la muda na pumzi tu
 
Back
Top Bottom