Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

Lissu anaweza kuwa Raisi wa kwanza aliyechaguliwa kwa pesa ya wananchi, tena mchango wa TS200/= kwa kila mtu.

Imagine 6,000,000 x 200
Inaonekana nchi hii ukigombea Urais unafanya kufuta mashitaka yako, Nchi nzuri haa siasa inafuta mashitaka na makosa ya kijamii. NCHI NZURI.
 
Wagombea wote wa Chadema hawana fedha ndio maana wamemualika Membe!
NDUGU wa Lissu inabidi wasimame imara kumshauri, ni wakati muafaka Sasa Lissu kurudi CCM. Lissu ni kapuku Mbowe hawezi kumptisha hata iweje. CCM pekee ndio maskini na tajiri Wana nafasi sawa.
 
kwani jpm alitumia za nani??
Za CCM ,CCM tuna zaidi ya billion Kibao za kumnadi mgombea wetu za ruzuku na miradi hatujazifisadi . Chadema chama hela hakina na Tundu Lisu ile kuonyesha Nia tu alianza Kuomba achangiwe pesa humu arushiwe namba ya simu!!! Hakusubiri hata chama kimteue kwanza!!! Akiteuliwa Ndio aombe watu wachangie sio wamchangie Yeye kwenye kinamba chake Cha simu au Cha wakala wake Koko Bali namba ya chadema ya chama kitakachomnadi

Huyu Lisu Lofa atasumbua chama kwenye pesa
 
Buku 7
 
B
Buku 7
 
Muonyesha Nia ya kugombea lofa wa kutupwa aliyeanza kuchangisha watu wamtumie kanamba binafsi apate pesa za kuchukua fomu Ni Lisu pekee !!!
Wenzie wote waliheshimu taratibu za Chadema hawakuchangisha mtu wakijua uteuzi bado kwa Nini uanze kuibia wanachadema? Wakikuchangia kibinafsi pesa yao si utaifisadi tu Kama hukuteuliwa na chadema?

Lisu Lofa chadema Ni chama Cha kibepari kilianzishwa na matajiri na kinaendeshwa na matajiri na kwa msimamo wao hawahitaji mgombea Maskini wanahitaji tajiri anayeungwa mkono na waendesha chama matajiri wenye maamuzi ndani ya Chadema sio waunga mkono Lisu malofa wa mitandaoni ambao hawako hata kwenye vikao vya maamuzi na hawachangii uendeshaji Chadema ila Ni ma parasite Wala pesa ya chadema na Wana Chadema

Chadema haihitaji mgombea parasite
 
Buku 7
 
Lissu amekuwa tishio kubwa kwa ccm na huyo ni mtu mmoja tu tena yupo nje ya nchi. Huyu shujaa atakapotua nchini sijui itakuwaje. Na ccm mkimgusa tu mjue ndio mmeharibu kila kitu nchi hii.
[/QUOTE]
Huyo mlemavu wa akili labda awe tishio LA mizoga wa Ufipa wanaojuta kuendekeza siasa za kupinga kila kiti
 
Huyo mlemavu wa akili labda awe tishio LA mizoga wa Ufipa wanaojuta kuendekeza siasa za kupinga kila kiti
[/QUOTE]
Fedha nyingi sana zinatumika kuangamiza demokrasia yetu.
 
Stand up and fight for what is right
 
"umaskini wa lisu ndio tatizo"๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ukute mleta Uzi ndo wale wa Milo miwili kwa siku, chai saa 6 mchana na ugali mchicha saa 2 usk. Ila mitandao bhana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Anaupotezaje?
Na wewe unauokoaje?
Mbona mmekomaa na Lisu tu?
Lazima gogo mlikalie mwaka huu
Labda agombee kupitia chama kingine,chadema ni Mbowe,Mtei hamjui Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ