Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Inaonekana nchi hii ukigombea Urais unafanya kufuta mashitaka yako, Nchi nzuri haa siasa inafuta mashitaka na makosa ya kijamii. NCHI NZURI.Lissu anaweza kuwa Raisi wa kwanza aliyechaguliwa kwa pesa ya wananchi, tena mchango wa TS200/= kwa kila mtu.
Imagine 6,000,000 x 200