Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Acha umbea na uongo
 
Na mimi nilikuwa Dodoma. So what? stupid correlation!
 
Alie mfanya makonda suspect ni nani? Yeye whenever au polish?

Kunavituko dunia hii! Yaani Lissu ndie anachagua ma-suspect?

Yaani kinachonifanya naendelea kumsikiliza Lissu ni hoja kuwa hivi kweli mtu anaweza kujipeleka akashambuliwe kwa risasi kwa umaarufu wa kisiasa? Jibu hapana hivyo huyu jamaa alishambuliwa pengine na watu asiowajua sasa hasira anapeleka kwa watu asiopatana nao.
 

Ina maana asingekuwepo Dodoma ilikuwa halali kwake kupigwa risasi.

Au anataka kutuambia Makonda ndio alipiga risasi. Lakini hata mimi nilikuwepo Dodoma kwa hiyo nami nilipiga mojankati ya hizo 30.
 
Mengi ya anayoongea ni fabricated na anajua hivyo. Isipokuwa ili kutuaminisha anazuga kwa kusema ameambiwa kwa sababu hayuko nchini kwa muda mrefu. Kwenye maongezi yake kuna chumvi too much. AMEAMUA KUJITOA UFAHAMU KANA KWAMBA HATARUDI NCHINI.
 
Lisu ataongelea Sana kuhusu shambulizi lake mwisho wa siku atakosa Cha kuongea Sasa hivi hoja aliyonayo NI shambulizi na serikali ya magufuli. Habari hizi zimeteka Sana media lakini zinaenda kufa kibudu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitegemea aongelee nini korosho? Ha ha ha!
 
unaufahamu ushahidi wa kimazingira,kama waufahamu huwa unatumika vp?

ushahidi wa kiaminika ungetokana na cctv camera vp ziko wapi?

ni suala la muda atakaye fata kufa kiutata ni yule camera zilizo ondolewa kwake. kuficha siri
Kama ni ushahidi wa circumstancial, mbowe alikuwa wapi siku hiyo? Ukiunga dots pia utakuta anahusika. Yategemea unaangalia engo ipi.
 
Mnadanganywa na wanasiasa halafu mnaingia mazima.
Kama wewe ulivyodanganywa na jiwe
Ungebutuliwa wewe risasi zile usingeandika upupu huu
Huna wazazi huna ndugu huna Kaka mjomba au shemeji
Jaribu kuwaweka hao wapendwa wako kwenye viatu vya Mheshimiwa yes Mheshimiwa Lissu
Muwe na utu
Mumuogope Mungu
Dhuluma ya roho ya mtu ni mbaya sana
 
Kama ni ushahidi wa circumstancial, mbowe alikuwa wapi siku hiyo? Ukiunga dots pia utakuta anahusika. Yategemea unaangalia engo ipi.
unaunga dot kindezi sana, mbowe alikuwa dodoma kwenye vikao vya bunge

bashite kama mkuu wa mkoa alitakiwa kuwa wapi ikiwa ripoti ilikuwa ikiwasilishwa

umeunga dot kama mtoto wa la 3C mkuu.

labda unambie mbowe alikuwa wap na alitakiwa kuwa wapi kama KUB
 
Mpuuzi kweli. Nani hatokufa ?! Watafute akina Amin, Mobutu , Hitler nk nk uwaulize kama bado wana enjoy mateso waliowapa watu !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inauma Sana.

Usukuma ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…