Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ndiye rais wetu wa 2020 hutaki kajinyonge
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiye rais wetu wa 2020 hutaki kajinyonge
In God we Trust
Ajabu ni pale unajijua wewe ni hunted person, najua tayari hunter wapo nyuma yako wanakufuata, unafika nyumbani unakuta usalama wote haupo hustuki tu unaingia. Unafika unapaki na hunters wanapaki na wewe na bado tu hujishtukii ku escape hilo eneo!!!!
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Tulieni wauaji kiama chenu kimekaribia.Nimetoa mfano tu mkuu. Kwamba haipo nchi duniani hapa ambapo mara moja moja yanatokea yaliyompata Lissu.
Kuna wengi tu wameuwawa Kibiti lakini hatusikii malalamiko na deko kama hili la TL.
unaufahamu ushahidi wa kimazingira,kama waufahamu huwa unatumika vp?
ushahidi wa kiaminika ungetokana na cctv camera vp ziko wapi?
ni suala la muda atakaye fata kufa kiutata ni yule camera zilizo ondolewa kwake. kuficha siri
Na wewe unazidi kuwa zwazwaMkuu Makonda alikufi...la nini?,huwezi kuongea bila kumtaja?,. Kila mahali ni Malyamungu Albert.. Fanya kazi mkuu, mwenzako nyota imewaka awamu hii.Mitandao inakupotezea muda.Unazidi kuwa MPUMBAVU.
hahahahahahahahaha!usinichekeshe mieWewe utakuwa wa long time kutamka neno mchecheto ni zile enzi za mambo digilii
Mbunge Mollel kamwaga ushahidi bungeni juu ya uhusika wenu katika kumshughulikia huyo kaka wa Singida. Mmemfanyia mbaya mkiwa na malengo yaliyojificha, mmeumbuka.
Kwa jinsi Serikali hii inavyotamani Chadema ifutike kwenye uso wa dunia kama analosema huyo bidhaa aliyenunuliwa na chakubanga ni kweli basi sasa hivi Chadema isingekuwepo. Na anayeamini huo upumbavu basi na yeye ni mpumbavu tu.Mbunge Mollel kamwaga ushahidi bungeni juu ya uhusika wenu katika kumshughulikia huyo kaka wa Singida. Mmemfanyia mbaya mkiwa na malengo yaliyojificha, mmeumbuka.
Mkuu muangalie vizuri kwenye hiyo video, amefikia mwisho wa lawama,.. Kila siku naongea humu Lissu ana akili nyingi Sana za darasani Ila za mtaani (Duniani) bure kabisa, ametawaliwa na kitu kwa kizungu inaitwa EGO, hakufunzwa na mama yake atafunzwa na ulimwengu, tangu yupo UK,USA, Germany umewahi ona afisa yoyote wa serikali yoyote huko anatoa tamko lolote kuhusu Lissu???.. Na NYUMBU wapo wanashangilia tu wanamuona HERO kumbe anaharibu siku hadi siku.Ukitaka kujua kuwa TL kadri anavyobwabwaja huko Ulaya na akili inapungua kichwani ni kwenye hii statement yake kwamba kwanini Polisi hawajamhoji Makonda kwakuwa alikuwa Dodoma siku anapigwa risasi. Sasa sijui ni wapi TL alikwishamlalamikia Makonda kuwa anahatarisha maisha yake na kumfuatafuata Dodoma. Anaongea ili kufurahisha kijiwe tu masikini TL
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza nguvu ya hoja anayoitoa, achana na hiyo habari ya kubuni kwamba amenunuliwa. Ina maana Lowassa na Nyalandu wamenunuliwa na CHADEMA?.Kwa jinsi Serikali hii inavyotamani Chadema ifutike kwenye uso wa dunia kama analosema huyo bidhaa aliyenunuliwa na chakubanga ni kweli basi sasa hivi Chadema isingekuwepo. Na anayeamini huo upumbavu basi na yeye ni mpumbavu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Mkuu muangalie vizuri kwenye hiyo video, amefikia mwisho wa lawama,.. Kila siku naongea humu Lissu ana akili nyingi Sana za darasani Ila za mtaani (Duniani) bure kabisa, ametawaliwa na kitu kwa kizungu inaitwa EGO, hakufunzwa na mama yake atafunzwa na ulimwengu, tangu yupo UK,USA, Germany umewahi ona afisa yoyote wa serikali yoyote huko anatoa tamko lolote kuhusu Lissu???.. Na NYUMBU wapo wanashangilia tu wanamuona HERO kumbe anaharibu siku hadi siku.
Hana hoja,vinginevyo tuamini kuwa Serikali hii na vyombo vyake vinamuogopa Mbowe kumuacha afanye shambulio la kigaidi kama lile bila kumchukulia hatua. Ndiyo maana nasema nyie watetezi wa CCM hamna akili, mnafikiri mnaitetea kumbe ndiyo mnazidi kuichoresha.Jipangeni upya Lissu amejipanga kuwavua nguo mabosi wako, wewe kwa vile uko programmed kutetea kila ujinga basi hujiulizi mara mbili unachofikiria ni hiyo buku saba.Sikiliza nguvu ya hoja anayoitoa, achana na hiyo habari ya kubuni kwamba amenunuliwa. Ina maana Lowassa na Nyalandu wamenunuliwa na CHADEMA?.
Lissu atawavua nguo kina nyinyi mnaoshabikia matukio ya muda mfupi. Wenye kutazama kesho na kesho kutwa na mwaka ujao wanamtazama mtu kwa undani. Huyo mbunge aliyenunuliwa zijibuni hoja zake. Mnageuka madalali wa wazungu, mnatumika kijinga bila ya hata kujua kuwa wanaowatazama wanawajua vizuri sana.Hana hoja,vinginevyo tuamini kuwa Serikali hii na vyombo vyake vinamuogopa Mbowe kumuacha afanye shambulio la kigaidi kama lile bila kumchukulia hatua. Ndiyo maana nasema nyie watetezi wa CCM hamna akili, mnafikiri mnaitetea kumbe ndiyo mnazidi kuichoresha.Jipangeni upya Lissu amejipanga kuwavua nguo mabosi wako, wewe kwa vile uko programmed kutetea kila ujinga basi hujiulizi mara mbili unachofikiria ni hiyo buku saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu atawavua nguo kina nyinyi mnaoshabikia matukio ya muda mfupi. Wenye kutazama kesho na kesho kutwa na mwaka ujao wanamtazama mtu kwa undani. Huyo mbunge aliyenunuliwa zijibuni hoja zake. Mnageuka madalali wa wazungu, mnatumika kijinga bila ya hata kujua kuwa wanaowatazama wanawajua vizuri sana.
Dawa inawaingia nyinyi mnaokimbilia ulaya kulalamika kwa wazungu, wakati wazungu hao hao wanawatazama na kuona namna mnavyopoteza muda.Tulieni dawa iwaingie vizuri mpone upopoma, mabosi wako wanavaa pampas sasa,wewe huna ulijualo unajua kumsikiliza kilaza chakubanga tu, ungejua yanayoendelea huko usingesogeza kishundu chako hapa.