Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Bado kuna nafasi kubwa kwa serikali kukaa na wapinzani na kurekebisha walipo kosea akiwemo kuruhusu uhuru wa demokrasia, haki kwa vyama vyote vya siasa na kulinda haki za binadam. Amini nakuambia Mh Lissu anayo mengi yenye ushahidi usio na shaka kuhusiana na shambulio lake, haya anayoyaongea ni punje siku akiweka yote wazi hapo magogoni hapatokalika.
 
Kulikua amna ulazima wa Lissu kumpiga risasi mbona Mzee Kikwete alikua mvumilivu tujifunze kuvumilia hata tusiyoyapenda
 
Bashiru Ally yupo sahihi kabisa. Jamaa anadeka kama mtoto mdogo. Makonda kuwa Dodoma imekuwa nongwa!!.

Kuna watu wamekufa Kibiti na Rufiji bila ya hatia yoyote ile, ina maana Makonda nae alikuwa maeneo hayo wakati wanapigwa risasi!!.

Unalalamika hakuna aliyekujulia hali ukiwa Nairobi, umesahau kwamba makamu wa rais alikuja kukupa pole!!.

Wenye akili zenye kufanya kazi vizuri wanaweza kuchambua pumba ni zipi na mchele halisi ni upi.
Bashiru na wewe wote ni mbumbumbu kwani kwa kuwa watu walikufa kibiti na wewe na Bashite kumpiga Risasi Tundu Lisu unataka akae kimya? Tambua kuwa Tundu Lisu ameongelea mauaji yote pasipo kubagua acha ushamba wako wa kolomije.
 
Kosa la kwanza Kutaka kumuua Lissu wakashidwa kushidwa kule ilikua bonge moja la mistake kosa lingine serikali kugoma kumlipa stahiki zake ambazo zipo kisheria Mistake nyingine serikali kukataa kufanya uchunguzi wa tukio la Lissu kwa kisingizio cha dreva wake ayupo swali wote wangefariki Uchunguzi usingefanyika mistake nyingine Kauli za viongozi wetu kabla ya Lissu ajapigwa risasi zilikua tata nchi zingine Viongozi wote waliotoa kauli tata wangekua segerea kama kweli sheria azichagui Mistake nyingi kuzani Lissu anachukiwa na kila mtu kuna watu wapo serikali wanampenda Lissu Kumbukeni adui yako sio adui yangu sifanye maadui zenu wa Kisiasa kua maadui zetu
 
Watetezi wa serikali awamu hii wana kazi Makonda anamualibia kazi mzee
Makonda Maliyamungu Bashite ndiye chanzo cha yote haya maana kama si yeye kwenda Dodoma na akina Le mutuz, jerry muro, cyprian Musiba Heri kisanduku na wasiojulikana kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko Marekani na huu mjadala usingekuwepo mitandaoni mda huu.
 
Bashiru na wewe wote ni mbumbumbu kwani kwa kuwa watu walikufa kibiti na wewe na Bashite kumpiga Risasi Tundu Lisu unataka akae kimya? Tambua kuwa Tundu Lisu ameongelea mauaji yote pasipo kubagua acha ushamba wako wa kolomije.
Ukipelekwa mahakamani ukaombwa uthibitishe kwamba RC wa Dar ndio aliyewezesha Lissu kupiga risasi unaweza ukasimama na kutoa ushahidi?.

Lissu ni majeruhi na sio wa kwanza kukutwa na dhahama hiyo, mkuu wa usalama wa zamani alipigwa shaba na kufariki na wengine wengi tu. Mnavyoongea ni kana kwamba Lissu ni wa kwanza kukutana na dhahama kama hizi.
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

Unajua maana ya suspect? Yeye kama mwanasheria anaona viashiria vya fulani kuwa suspect.
 
Kuna shida kubwa mahali. Mtaalamu mkubwa wa sheria anatoa accusation kuwa Makonda ni suspect ahojiwe sababu kasikia siku hiyo alikuwa Dodoma badala ya kuwa Dar kwenye sherehe. Ni hilo tu?
Sad enough, pembeni unasikia sauti ya supporter mmoja, “ tena alionekana kwenye SUV “
Kuna shida mahali.
Dereva aliwarekodi...clips zipo ndio maana wanamtaka sana..ila masikini ya Mungu..wameshakabidhi hizo footage EU..mbumbumbu alikuwa kiti cha mbele anatoa maelekezo..kavaa kofia na miwani..
Alafu Lissu unawachelewesha weka hizo clips mitandaoni uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja..
 
Hakuna uhusiano wa Makonda kuwa Dodoma na wewe kupigwa risasi!
Makonda anaweza kuwa Dodoma kwa mambo yake binafsi
Lakini nimefurahi umejitambua kuwa wewe ni msaliti!
Mbona uhoji Mbowe kutokuwa Ikulu siku ya ripoti ya makinikia wakati alikuwa na mwaliko?
Huo utetezi wako kwa makonda Maliyamungu Bashite ni utetezi wa kipumbavu sana usariti na Bashite kumpiga Risasi vina uhusiano gani? Hata mkatae vipi hata mmtetee Bashite vipi hawezi kuchomoka kwenye ushiriki wa shambulio kwa Tundu Lisu endeleeni kuomba mungu huyo magufuli awe Rais wa milele amlinde Bashite mpaka kufa lakini ikitokea kesho magufuli hayupo ikulu huyo Bashite ajipange ingawa tunajua atakimbia nchini na kwenda kujificha mbali
 
Ukipelekwa mahakamani ukaombwa uthibitishe kwamba RC wa Dar ndio aliyewezesha Lissu kupiga risasi unaweza ukasimama na kutoa ushahidi?.

Lissu ni majeruhi na sio wa kwanza kukutwa na dhahama hiyo, mkuu wa usalama wa zamani alipigwa shaba na kufariki na wengine wengi tu. Mnavyoongea ni kana kwamba Lissu ni wa kwanza kukutana na dhahama kama hizi.
Kombe aliuliwa na polisi wakasema walimfananisha na jambazi..unataka kusema Lissu alipigwa risasi na polisi??
 
Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.

Siyo upuuzi ndugu, katika sheria siku zote mfano wewe unaishi dar na adui yako anaishi kenya, ukiambiwa adui yako yuko dar na kisha siku hiyo ukashambuliwa unafkiri suspect number moja atakuwa nani? Kumbuka amesema ni SUSPECT tu.
 
Usione watu wazima wanalia makanisani ukaamini wanalia kwa sababu wamebadili majina na hawana vyeti vya elimu tu,wanalia kwa mengi yakiwemo mabaya wanayopanga na kutekeleza dhidi ya wenzao.Lakini siku zote ubaya hauwezi kuushinda wema,watajulikana tu
Walikuwepo madikteta wanyama wenye roho mbaya akina chiluba, sadam Hussein, Gadafi, Abacha, Bokassa, Charles Taylor, Iddy Amin dada na aliyekuwa na msaidizi mwenye Roho mbaya aliyejulikana kwa jina la Maliyamungu wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu
 
Kombe aliuliwa na polisi wakasema walimfananisha na jambazi..unataka kusema Lissu alipigwa risasi na polisi??

Tundu Lisu alipigwa Risasi na Heri kisanduku na cyprian Musiba ambao waliambatana na Bashite Le mutuz na watu wengine wanne wasiojulikana yaani walikuwa ni watu tisa jumla waliokuwa na magari mawili Toyota vx na Nissan nyeupe
 
Kombe aliuliwa na polisi wakasema walimfananisha na jambazi..unataka kusema Lissu alipigwa risasi na polisi??
Nimetoa mfano tu mkuu. Kwamba haipo nchi duniani hapa ambapo mara moja moja yanatokea yaliyompata Lissu.

Kuna wengi tu wameuwawa Kibiti lakini hatusikii malalamiko na deko kama hili la TL.
 
Back
Top Bottom