Makonda amedai Siku ya kupigwa Risasi Lissu yeye Alikuwa Dar, Mnazi mmoja. Lissu anadai alikuwa Dodoma, nani mkweli kati yao? Walete ushahidi tumalize utata wa hili jambo.
Japo najiuliza kwa nini Makonda amekaa kimya miaka yote kisha aje aseme sasa, au kaona itakuwa ngumu kutafuta ushahidi ili kumuumbua kama anatupiga maana miaka imepita mingi?