Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Makonda amedai Siku ya kupigwa Risasi Lissu yeye Alikuwa Dar, Mnazi mmoja. Lissu anadai alikuwa Dodoma, nani mkweli kati yao? Walete ushahidi tumalize utata wa hili jambo.

Japo najiuliza kwa nini Makonda amekaa kimya miaka yote kisha aje aseme sasa, au kaona itakuwa ngumu kutafuta ushahidi ili kumuumbua kama anatupiga maana miaka imepita mingi?
 
Ameulizwa na waandishi wa habari ndio maana akajibu. Siku zote za nyuma waandishi wahabari walikuwa hawajamuuliza mkuu. Hayo yalikuwa majibu yake baada ya kuulizwa na na mwandishi wa Wasafi, Zembela.
 
Kuna tuhuma si za kusubiri uulizwe, kumbuka Tetesi, uzushi na tuhuma zikiachwa bila kujibiwa au kukanuushwa huwa zinaamika kuwa kweli na ukija kukanusha kwa kuchelewa unaacha mashaka kuwa unajishafisha kwa kuwa unahitaji jambo fulani
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Makonda amedai Siku ya kupigwa Risasi Lissu yeye Alikuwa Dar, Mnazi mmoja. Lissu anadai alikuwa Dodoma, nani mkweli kati yao? Walete ushahidi tumalize utata wa hili jambo.

Japo najiuliza kwa nini Makonda amekaa kimya miaka yote kisha aje aseme sasa, au kaona itakuwa ngumu kutafuta ushahidi ili kumuumbua kama anatupiga maana miaka imepita mingi?
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awe Dar halafu ashindwe kuhudhuria 'mkutano maalumu' wa Mhe.Rais Magufuli pale Magogoni?
 
Siasa za bongo bwana du! Hatuna agenda kabisa angalau hayati Lowasa alikuja na good agenda yakupush elimu na huduma za afya.
Sasa naona tunaangalia kinachoweza kutrend ndio inakua agenda (walio soma political manipulation wanajua hii kitu, na hizi punch za sauti zao lazima wakuteke hisia uone ni wafia nchi kama walivyo pastor wakileo). Usishangae wakitoka jukwaani wapigiana simu wakutane viwanja wakapige Moja baridi.
 
Magufuli awecIkulu yeye Makonda awe Mnazimmoja? Utetezi wa hovyo kabisa huo
 
Hivi gari likichomwa na kuteketezwa linawezekana kuonekana na satalite ama google, (maps), images
 
Hii iss
Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

====

Pia soma: DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

View attachment 3155072
HIi issue haitakaa izimike hadi miaka 1000 ijayo.
 
Makonda amedai Siku ya kupigwa Risasi Lissu yeye Alikuwa Dar, Mnazi mmoja. Lissu anadai alikuwa Dodoma, nani mkweli kati yao? Walete ushahidi tumalize utata wa hili jambo.

Japo najiuliza kwa nini Makonda amekaa kimya miaka yote kisha aje aseme sasa, au kaona itakuwa ngumu kutafuta ushahidi ili kumuumbua kama anatupiga maana miaka imepita mingi?
Au miundomninu ilikuwa inawekwa sawa🤣🤣🤣
 
Makonda amedai Siku ya kupigwa Risasi Lissu yeye Alikuwa Dar, Mnazi mmoja. Lissu anadai alikuwa Dodoma, nani mkweli kati yao? Walete ushahidi tumalize utata wa hili jambo.

Japo najiuliza kwa nini Makonda amekaa kimya miaka yote kisha aje aseme sasa, au kaona itakuwa ngumu kutafuta ushahidi ili kumuumbua kama anatupiga maana miaka imepita mingi?
Sasa hapa inabidi kujifikirisha zaidi.Sawa,mwenyewe Makonda anadai alikuwa Dar lakini hata kama alikuwa Dodoma ambapo ni makao makuu ya nchi,Je yeye haruhusiwi kuwa Dodoma ?
 
Back
Top Bottom