Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Hii kesi inapaswa kufungwa sasa na wenye mamlaka.
 
Bora kasema mapema, wamshitaki mahakamani ili siri zijulikane.
 
..Rais aunde Tume ya Kimahakama kuchunguza kilichotokea.
 
Mathayo 26:52

Auaye kwa upanga naye atauawa kwa upanga.
 
Makonda hata kwa Moe anahusika, na yule mnafiki mwingine Sabaya roho nyeusi juzikanisani eti nimewasamehe walioniletea kesi, hawa watu wanafikiri wengine hawana akili ila tutapambana nao tuu na watanyooshwa, nchi ya wote and no one above the law, Makonda kuna siku mkono wa sheria utakufikia sina wasiwasi kabisa na hilo
 
anajua sana. hajamtaja mtu aliyemwambia........... huyu ndiyo siri kubwa mana akimtaja watampoteza au kumwandama


Kwa uelewa wako kutomtaja aliyekwambia ndo unakuwa na sifa za kuwa msiri?
 
Back
Top Bottom