Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

kwani wewe ukiwa dodoma hawaruhusiwi watu wengine kwenda dodoma? acha uuni mbowe anajuwa kila kitu kilichotokea nandiyo aliyesuka mpango yote aataja sasa hivi kwenye ushahidi unaoendelea mahakamani we tulia tu
😀😀😀 kwaiyo mbowe akamtuma yule waziri mstaafu ang'oe CCTV camera?
 
hizi damu za watu zilizomwagika lazima zitamtafuta tu ... hata akimbilie wapi .... tena atakuwa chizi huyu DAB
 
Mbona facts ameziweka wazi tuu! Au wewe unayako mengine? Kama unapingana na aliyoyasema lisu basi toa vigezo vyako vitakavyopingana na maelezo ya.majeruhi mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni zwezwe na sijui amepata nini baada ya TL kupiga Risasi. Huyo jamaa ni wale wale wachumia tumbo na siku akipigwa jiwe ndio atatoka usingizini.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ila hoja zingine za kiduanzi mno.😁.

Kwa hiyo likitokea tukio lolote Dar,suspects wanakuwa wasio wakazi wa Dar walioko Dar?

Makonda hana kinga dhidi ya mashtaka na jinai haina expire date ila mnang'aa sharubu tu kumpeleka kortini hadi leo.

Mnaogopa mtamsafisha mkose cha kuongea?

Leo hii si Makonda tena bali mnamtaja Diwani Athuman.
 
Hayo maisha ya kutanga tanga ulaya mnyaturu wa ikungi anaona raha sana sijui anachotaka nini.
 
Hayo maisha ya kutanga tanga ulaya mnyaturu wa ikungi anaona raha sana sijui anachotaka nini.
[emoji38][emoji38] unaambiwa kuna Makundi matano

mojawapo hili hapa

IMG_20211218_014906.jpg
 
Kuna kila dalili Makonda kasoma mchezo wa kupelekwa keko ili kwenda kupigwa miti na wanyapara wenye kiu ya kumtafuna kavu kavu.
 
Kitendo cha Paulo Chritiani Makonda kuteuliwa kuwa Katibu Wa uenezi wa chama kikubwa yaani ccm Barani Africa inasemekana kimemshitua Ndugu Yetu Tundu Antipasi Lisu Mzimu unao ishi na kutembea.

Kitendo hiki inasemekana pia kimelaaniwa sanaaa na Ndugu Yetu Tundu Antipasi Lisu kwa maneno makali yakuwa amesikitika kuona jitu uaji linateuliwa kupewa nafasi kubwa namna hii.

Sambamba na kulalamika kwa Lisu hata yule aliywai kuwa waziri wa Habari ndugu Nape Nauye nae enzi za utawala wa Makonda alionjaga chungu cha moto kudadeki.

Pongezi ya Nape nauye imejaa kejeri lakini kiualisia Makonda aliusika kuunda kikosi kazi kilichotaka kumjerui Nape kwa kumtolea Bastora ili Ndugu Makonda hawezi lipinga maana yeye alikuwa mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dsm.

Kama ilo halistoshi makonda hawezi saaulika katika suala la uvamiizi wa clousd fm alivamia na majeshi yetu uku wakiwa na mitutu ya Bunduki.

Yoooote yaishe kwa kuwa Inasemekana siku aliyopigwa Tundu Lisu ndugu Makonda alionekana akilanda landa mkoani Dodoma basi mimi nashauri ni vyema akafuta kauli hizi

Au aliigation hizi kwa kufungua kesi dhidi ya ndugu Tundu Lisu ili hasionekane kweli aliusika njama za mauaji.

Pili kwa kuwa alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dsm ajitokeze ataje kikosi kazi alichokituma kikampasue huyu ndugu Nape Nauye.

Kuhusu la clouds mi.najuaga hakuvamia bali alienda kupeleka clip ya kipindi cha SHILAWADU akakuta wanatangaza kinyume na alivyotaka akaamua kuwafyekelea mbali.
 
Makonda ni shetani,na lile andiko la biblia linatimia sasa,"ole kwenu,maana yule adui yu juu yenu! Tuombe na kusali sana,maana adui amewekwa juu yetu.
 
Back
Top Bottom