Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

My Take
CCM mlikosa kabisa mtu wa maana?
 
Mm mwenyewe nashangaa Tatizo LETU watu WEUSI hatuishi vituko hiki nacho ni kituko na kwann maccm hayahoji huu uteuzi....
 
Hints:

Kimenukaaaa
 
Hawawezi kuhoji Wengi ni chawa wakiwemo Graduates wanaoamini wanaweza kuukwa uteuzi.......utaona jinsi watu wengi watajikomba kwake.
 
Kwa hiyo sasa katika watu wote Tanzania ni Makonda pekee ndiye alikuwa dodoma?
Hujaelewa mantiki. Na pia ufahamu kuwa heading huwa zinarekebisha na mods. Heading ilikuwa:

'Siku Tundu Lisu anapigwa na risasi, Makonda alikuwa Dodoma kusimamia zoezi hilo'.

Na mfahamu kuwa siku hiyo Lisu anashambuliwa kwa risasi, Magufuli alikuwa na mkutano wa kupokea report ya madini ya almasi Dar, ambapo kila mkutano unaofanywa na Rais katika mkoa, lazima.mkuu wa mkoa awepo. Lakini siku hiyo, kwa Makonda, ilionekana kazi ya kusimamia Lisu auawe ilikuwa ni muhimu zaidi kushinda hata mkutano wa Rais uliokuwa unafanyika Dar es Salaam.
 
Kuna kiongozi ambaye Lissu anamtaja taja kuhusika na yaliyomkuta, katika hali ya kushangaza, kiongozi pekee aliyeenda kumtembelea Lissu na kumpa pole, ametonesha madonda ya majeraha ya Lissu na kuondoa uwezekano wa tukio la Lissu kupata muafaka.
 
Vipi Kwani anakutana na trump lini akamshtakie hayo yote? Sababu tumeambiwa ana mualiko Whitehouse
Akienda pia awakumbushe pia kwamba Mlinzi wake alieshuhudia anaishi wapi ? Awakumbushe pia kwamba kule Gaza mama na watoto wanataabika asikie watampa jibu gani!!!
 
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

My Take
CCM mlikosa kabisa mtu wa maana?
Msaliti wa taifa hupigwa risasi kote duniani siyo Tanzania tu
 
Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

wewe kwanini hutaki kwenda kufungua kesi unakuja kulalamika tu huku ?nenda kafungue kesi sema kuwa unasuspect makonda ataitwa sasa unataka ahojiwe kwa lipi kama hakuna mtu anamshuku? mbowe naye alilewa kaanguka akasema alitaka kutekwa yaani wapinzani hamna hoja mna viroja
 
Back
Top Bottom