Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using
Jamii Forums mobile app