Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Lissu alikosea sana kuanzisha ugomvi na Zitto, ona sasa mwili mzima hauna zindiko auna hata chale moja. Matokeo yake ndio hayo.

Rais kasema mtu huyu yafaa kuuliwa makonda hayupo kwenye sherehe walinzi nyumbani kwako wameondolewa haustiku tu!

Sialipaswa kuchezwa na machale akalala mbele mapema tu, angeamua kulala bungeni nani angemtoa humo?

Haya atuambie kashambuliwa mbele ya nyumba yake hausegirl wake hata asipige mayowe kuita majirani? Baada ya kushambuliwa na majambazi kuondoka alitoka nje kuona kulikoni?

Nyumba za majirani zilikuwa na cctv ilikuwaje nyumba yake tu haikuwa na cctv? Hakuwa na fedha au hakuona umuhimu?
 
Target ni Lissu ndo maana hata mwelekeo wa matundu haukuonyesha kwa dereva

Yawezekana kabisa wauaji walianza kupiga maeneo yaliyoadhirika Lissu na kama dhamira ingekua maeneo ya kifuani wangefanya hivyo

Mkuu serious! Umepewa agizo ukatekeleze halafu unafanya vile? 38 bullets ? Hivi kweli unaweza kuwa na mafunzo yoyote ya maana, Ilikuwa nini hasira? Uzembe? Hofu..? Mi nadhani kwa mtu aliyepitia mafunzo sahihi hawezi kuwa na uzembe kiasi hicho kwa sabbu matokeo ya Uzembe wake yanaweza kuwa makubwa mara dufu..

Kwa hali ile ina maana dereva wa TL alikuwa na mafunzo zaidi ya waliotumwa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si wote wanapendezwa na ukatili wa kijinga, wengine hawataki kusikia kabisa wala kuona damu inamwagika.
 
mzee wa kulia lia kanisani.
ndo maana baba ake anamkumbatia Sanaa.
maana akimfukuza tu.watajulikana haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani itokee Rais afie ikulu kama ilivyopata kutokea malawi na Zambia ujue kabla ya kuzika Maliyamungu Bashite atahama Nchi maana hata CCM wenzake hawamtaki wanamchukia sana na wamempania sana wanasubiria upenyo wowote ule wamunyooshe
 
Huyu mpiga ramli hana Mtu nyeti wala Nyeti yenyewe kutoka Serikalini inayompa taarifa nyeti ni ubabaishaji tu na ukanjanja, kama kweli ameshapata watesi wake kutoka kwa mnyetishaji wake aende mahakani direct akafungue shauri, sasa ya nini kulialia na kubweka bweka ovyo ovyo wakati tayari anavyo vyanzo vya kuaminika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seriously well informed kuwa Makonda alikuwa Dodoma siku anapigwa?
Pure udaku...
Wewe peke yako kilaza unayemwabudu Maliyamungu Bashite ndiye utaona Udaku lakini wenye Uelewa mpana wasio wajinga kama wewe wanajua Oparation yote ya kumshambulia Tundu Lisu iliratibiwa na kutekelezwa na Maliyamungu Bashite kwa Amri toka kwa mtukufu malaika toka chato.
 
Huyu mpiga ramli hana Mtu nyeti wala Nyeti yenyewe kutoka Serikalini inayompa taarifa nyeti ni ubabaishaji tu na ukanjanja, kama kweli ameshapata watesi wake kutoka kwa mnyetishaji wake aende mahakani direct akafungue shauri, sasa ya nini kulialia na kubweka bweka ovyo ovyo wakati tayari anavyo vyanzo vya kuaminika

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe mbweha kaa kimya kama huna hoja tulia upewe mimba na cyprian Musiba hapo gheto acha kuleta ujinga wa kishamba toka kolomije ni mahakama ipi atakwenda? Mahakamaccm za kupokea Amri na maelekezo toka juu? au aende mahakama za Dunia? Wewe ndiyo unabweka hovyo hapo gheto kwenye keyboard huku umepakatwa
 
Mkuu serious! Umepewa agizo ukatekeleze halafu unafanya vile? 38 bullets ? Hivi kweli unaweza kuwa na mafunzo yoyote ya maana, Ilikuwa nini hasira? Uzembe? Hofu..? Mi nadhani kwa mtu aliyepitia mafunzo sahihi hawezi kuwa na uzembe kiasi hicho kwa sabbu matokeo ya Uzembe wake yanaweza kuwa makubwa mara dufu..

Kwa hali ile ina maana dereva wa TL alikuwa na mafunzo zaidi ya waliotumwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Washambuliaji walipofika Dodoma kwa mujibu wa Le mutuz walimwambia Bashite kuwa waache kwa kuwa hapajakaa vizuri lakini Bashite akagoma na kutoa Amri shambulio lifanyike, ndipo wakashambulia kwa pupa papara pasipo mbinu za mashambulizi kutumika kwa maana ingine mtoa Amri hana uzoefu yeye alitumia chuki binafsi kutekeleza shambulio siyo ujuzi wa kijeshi
 
Punguza hasira wewe kijibwa, najua una uchungu kuliko uchungu wa Mama mja mzito pia Tundu vivo hivyo ameamua arefresh mind kwa kupakatwa Ughaibuni kwa kupumuliwa na whitemen nawe kama hutojari karefresh the same to your boss kwani ni sehemu ya ajenda ya chama chenu, ni wajibu na haki yenu but hacheni kupiga ramli juu ya Shambulizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkitaka siri zote msihangaike sana tafuta Demu mkali penyeza kwa cyprian Musiba, Jerry Muro na Le mutuz wakilewa wanaropoka kila kitu na mtu pekee ambaye hajatoa siri ni Heri kisanduku ambaye yeye hujificha sana kwani ndiye aliyempiga Risasi nyingi Tundu Lisu lakini wenzake wapo mitaani na siri zinaendelea kuvuja
 
Punguza hasira wewe kijibwa, najua una uchungu kuliko uchungu wa Mama mja mzito pia Tundu vivo hivyo ameamua arefresh mind kwa kupakatwa Ughaibuni kwa kupumuliwa na whitemen nawe kama hutojari karefresh the same to your boss kwani ni sehemu ya ajenda ya chama chenu, ni wajibu na haki yenu but hacheni kupiga ramli juu ya Shambulizi

Sent using Jamii Forums mobile app

Umevuta Bangi na kujitoa fahamu zote mpaka kichwani kumesalia kamasi bakuli mbili na moshi wa Bangi, acha ushamba wa kolomije wewe kwani huko ulaya Tundu Lisu kafikaje? Kama siyo wewe na Bashite na kikundi chake kwenda Dodoma kumpiga Risasi angekuwa huko leo? Chanzo ni wewe lakini kwa kuwa Akili zako ni finyu umekariri ujinga wa le mutuz na kushinda mitandaoni kuwasumbua watu
 
Hakunaga Siri duniani!
Na Siri walau yaweza kuwa ya mtu mmoja kitu ambacho ni kigumu sana, na siri ikishazidi watu wawili na kuendelea ujue basi hakuna siri tena hapo!
Ni swala la muda tu ukifika kila kitu kinakuwa hadharani!

Matendo ya Mungu yanatisha kama nini [emoji123][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom