Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Wewe mbweha ulikuwa wapi wakati Tundu Lisu anatangaza kuwa kuna Gari huwa linanamfuatilia mara nyingi na akazitaja hadi namba zake, Tatizo umeshika mimba hapo gheto ujui ni ya nani maana unawachanganya cyprian Musiba na Le mutuz mpaka umejitoa fahamu zote umebakiza kamasi tupu kichwani
Nilikuwa nakupelekea moto wa Oryx pale Namnani kwani umesahau!?
 
Moto upi acha kujishaua kijijini kwenyewe umetoka juzi huko kolomije ulotoa mimba kibao za wana vijiji nimetoka Dsm kuhamia huku canada wewe ukiwa bado fala kule kolomije ingawa sasa umepakatwa na cyprian Musiba unajidai mjanja.
 
Wewe mbweha ulikuwa wapi wakati Tundu Lisu anatangaza kuwa kuna Gari huwa linanamfuatilia mara nyingi na akazitaja hadi namba zake, Tatizo umeshika mimba hapo gheto ujui ni ya nani maana unawachanganya cyprian Musiba na Le mutuz mpaka umejitoa fahamu zote umebakiza kamasi tupu kichwani
Mkuu nikikuona naanza kuogopa kukusoma.. mara ya kwanza uliwataja hawa watu kabla hata tundu lisu hajaanza ziara zake na katika uliowataja mpaka sasa watatu wameshajitokeza hadharani na kutoa neno ambalo si jema juu yake wengine kudiriki kusema anyongwe mwingine kaja na la kutaka kumfungulia kesi ya uhaini ila kikubwa huyu bwana aliyetwa na yeye mwenyewe kuta lisu arudi faster... naanza kukuogopa mkuu ila si kwamba unanitishs, hapana. Ni namna inavyoweza kuthubutu kuuanika uovu.

Tusaidie hivyo hivyo ndugu yangu issue ya lissu itaokoa ihai wa marehem watarajiwa wa maksudi wengi sana kwa sasa nina kaimani hatutasikia mtu katekwa mpaka uchaguzi ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moto upi acha kujishaua kijijini kwenyewe umetoka juzi huko kolomije ulotoa mimba kibao za wana vijiji nimetoka Dsm kuhamia huku canada wewe ukiwa bado fala kule kolomije ingawa sasa umepakatwa na cyprian Musiba unajidai mjanja.
Bwahahahaha...just Bwahahahaha!
Pathetic swine!
 
Lissu ni mwema sana kwa kukoswa koswa kuuawa harafu anaongea tuu wengine wangeweka moyoni harafu revenge yake tungeisikia mpaka huko Puerto Rico...
 
BASHITE akiunganishwa kwenye lie detector test machine, na akiuliza swali kwamba ulipanga mauaji ya Tunu LISSU atakuwa amekwisha
 
BASHITE akiunganishwa kwenye lie detector test machine, na akiuliza swali kwamba lipanga mauaji ya Tunu LISSU atakuwa amekwisha
Bashite ametumia zaidi ya bilion kuagiza waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali kwa kumtuma Lr mutuz kwenda kuwachukua huko na week hii Le mutuz katokea Africa ya kati kuchukua waganga watano kuungana na waganga wengine 65 waliopo Dsm wakiamini watawasaidia kumnyamazisha Tundu Lisu
 
Nilikutag mapema sana baada ya kusikia Lissu kwa mdomo wake akilitaja jina la mwana mfalme
 
Mkuu nikikuona naanza kuogopa kukusoma.. mara ya kwanza uliwataja hawa watu kabla hata tundu lisu hajaanza ziara zake na katika uliowataja mpaka sasa watatu wameshajitokeza hadharani na kutoa neno ambalo si jema juu yake wengine kudiriki kusema anyongwe mwingine kaja na la kutaka kumfungulia kesi ya uhaini ila kikubwa huyu bwana aliyetwa na yeye mwenyewe kuta lisu arudi faster... naanza kukuogopa mkuu ila si kwamba unanitishs, hapana. Ni namna inavyoweza kuthubutu kuuanika uovu.

Tusaidie hivyo hivyo ndugu yangu issue ya lissu itaokoa ihai wa marehem watarajiwa wa maksudi wengi sana kwa sasa nina kaimani hatutasikia mtu katekwa mpaka uchaguzi ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ni kweli taarifa zao ninazo mapema kwa Bahati nzuri huyo misri wa Maliyamungu Bashite yaani Le mutuz ni mtu wa kupenda michepuko tulimpenyezea michepuko kazaa ikawa inampelekeza na kumsikiliza kwa umakini pindi apoongea tukapata taarifa nyingi sana pasipo wao kujua na pia taarifa zingine zilivuja kupitia jerry muro na cyprian Musiba ambao pia ni wadhaifu huku taarifa za Bashite mwenyewe zikivuja kwa njia za kisayansi zaidi pamoja na wapambe wake kujisahau wakaropoka, nikitulia nitakupa mipango yao mpiya wanayopanga kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa TFF utashangaa kama siyo kuzimia
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Kwa hiyo mtu akiwa mwanasheria ni marufuku kuwa na hisia.FYI:Huo ni mwanzo tu.Tumia akili.Kuna kitu anataka kukuelezeni ninyi wapumbavu mnashindwa kutulia mumuelewe.Hizo ni "dots" tu.Mtaelewa hata kwa nguvu.
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

Why partly write in English, as Magonjwa Mtambuka ya Akili can't understand what you meant in that part. 😁😁😁
 
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA ROHO MBAYA.
usiwe na ROHO ya shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom