Halafu hao ndo wanaotafuta ajira serikalini..
Hata tukio lenyewe bado linaacha maswali kama mtekelezaji au aliyetumwa kufanya hiyo operation.
1: walitumwa kumfuatilia wakaona anawasumbua kwa uvivu wakaamua kufanya maamuzi yao. ! ( kupiga) kama tujuavyo kwenye gari nyingi za vyombo maalumu silaha hazikosekani . Kama hivyo ndivyo basi wanaowajibika ni wao wenyewe!
2:walitumwa kumzimisha halafu kutokana na ama huruma au uzembe wakashindwakutimiza kusudio maana yake aliyetumwa sio mtu sahihi, ama hajui kazi yake sawasawa.
Hapa pia yupo anayewajibika ama kuwajibishwa.
3: wale waliobanwa kwenye kona ya St peters wakimfuatilia mmoja alikimbia mwingine alibaki akahojiwa na TL, je alisema nini? Na ni yepi yalikuwa mazungumzo yao.? Ama makubaliano yao? (Siri).
Kwanini isiwe kuwa ndio huyu anayempa TL taarifa zote muhimu.
4: kama TISS wanaweza kuwekewa mtego kiurahisi tu na Tundu Lissu wakanasa je wanaweza kuaminiwa kwa mission nyingine kubwa bila kufeli?
5: Je, tuna uhakika watu wote walio TISS au polisi nu watu sahihi wenye ujuzi na uwezo stahiki.,? Au ni wale waliopata kazi kwa migongo ya wajomba na shangazi zao kisha leo wanatumika kulilpa fadhira?
Mwisho;
Iwe kusudi uzembe au bahati mbaya kwa tukio la TL kuna mtu ama watu wanatakiwa kuwajibishwa haraka, wao na mtandao wao wote, kabla hawajaleta madhara zaidi kwa Taifa hili.
Naamini aliyetekeleza tukio lile yupo na anasoma kinachoendele kwenye mitandao ya kijamii. Kunya unye wewe harufu uwapakaze wengine..[emoji53][emoji53]
Sent using
Jamii Forums mobile app