Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

8e661c6c-3ca4-4d80-a519-443d81eeb9bc.jpg
Hivi hii ndo inatwa kuzurula duniani ety !![emoji1]
 
Taratiiiibu wahusika waanza kuanikwa .
Hiii habar ilikuwa inakosekana hapa jukwaani.lakini ndio ukweli wenyewe .siku ya tukio la Lissu Bashite alikuwa Dom badala ya kwenda ikulu kwenye ripot ya makinikia.
 
Hiv anahangaika nini kwani, anatafuta nini, kuna kitu gani amewah yeye kukifanya hapa Tanzania, hata huko Singida anapotoka amefanya nini......kuzaliwa na kuwa na uwezo wa kutoa chochote tu kilichopo kinywan nayo ni shida.....Lissu utakaa kuongea sana coz hata Tanzania sasa unaiogopa.....mbona wenzio wapo kimya na siasa zinaenda na maisha pia.....WEWE NI NANI HASA HAPA TANZANIA MPAKA UONGEE SANA....hata kama mm pia ningekuwa namba moja Siwez kukuacha mbona......huko penyewe unaposemea wanauelewa mchezo vizur sana...na ndo wababe wa hyo michezo...wanakuona kama mwendawazimu......unaendelea kujichimbia shimo Tanzania.....rudi tu sisi macho yetu....lisu lisu ......utakufa siku sio zako endelea...
 
Kwanza Nyaturu tuna uwezo wa mkubwa wa kuwa na busara......sasa hi mbegu ya lisu nina shaka kama ni singida hi......nahisi itakuwa imepandikizwa.....busara na kukaa na maneno sirini ...zero
 


Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Dah...ngoja nikae siti ya nyuma tukifika mnistue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama wakati ule baada ya tukio mbowe alisema kama ni kweli kwamba huenda Chadema wanaweza kuhusika basi serikali iridhie waje wachunguzi huru toka nje ya nchi ili wachunguze hilo tukuo au siyo?!
Je swala hilo lilifikiwaje?


Sent using Jamii Forums mobile app
Wachunguzi huru walichunguza kwa siri kubwa, ubalozi wa Marekani uliwatuma FBI wakaenda Dodoma kimya kimya wakachumguza kwa kuwatumia wazawa kisayansi ndipo wakabaini kuwa zilitoka Gari mbili Dsm yaani Toyota vx na Nissan nyeupe ndani ya vx Toyota walikuwemo Watu wanne wanaojulikana wawili ambao ni Bashite na Le mutuz na kwenye Nissan nyeupe walikuwemo wasiojulikana wawili na watatu wanaojulikana ambao ni Jerry Muro, Cyprian musiba na Heri kisanduku ambaye ndiye alibeba bunduki kubwa na kumshambulia Tundu Lisu huku cyprian Musiba akitumia bunduki ndogo bastora kusaidia shambulio na baada ya shambulio waliondoka kwa kasi hadi morogoro kwa mganga wa kienyeji na pindi wakiendelea na ushirikina wao ndipo Bashite akapigiwa simu toka Dodoma kuwa cctv camera ziliwachukua Sura watu watatu yaani cyprian Musiba, Heri kisanduku na mmoja asiyejulikana ikabidi Bashite na Le mutuz warudi Dodoma haraka kwenda kuzing’oa zile cctv haraka kisha kupachika zingine kwa kasi ili kupateza ushahidi na akazichukua hizo cctv kuja nazo nyumbani kwake Mikochen hilo ni kwa mujibu wa Le mutuz lakini kupitia uchunguzi na siri zao kuvuja pia, siyo siri wala siyo Uongo wala Uonevu kwa Bashite ni kweli kuwa Maliyamungu Bashite ndiye aliyepanga na kuratibu na kutekeleza shambulio kwa Tundu Lisu, taarifa zote zipo kwa FBI na Tundu Lisu kapewa picha yote anajua A-Z
 
nusu kaputi 23 haiwezekani zikawa zimeisha kichwani kwa muda huu kwa hio mengine msimulaumu

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha ungese umevuta Bangi zako ukazani ukija na kisingizio chako cha kishamba toka kolomije utaeleweka mbona Ndungai alijazwa nusu kaputi huko India miezi kibao lakini sasa ndiyo mnamtumia huko bungeni kuwanyanyasa Wapinzani?
 
Kutajwa na kujulikana ni hatua muhimu mno kwa kuanzia.mengine hutakiwi uyajue

Kwa sasa kuna Bashite Maliyamungu wa Tz akiwa ni mrithi wa yule marehemu colonel Maliyamungu aliyekuwa ni mtu hatari na mwenye Roho mbaya sana kipindi cha Utawala wa kidikteta wa nduli Iddy Amin dada
 
Back
Top Bottom