Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

True
Na mshahara ndio paaap hamna
Hahahaha
Kilema anaona kiama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigania haki za binadamu kote duniani wameshamfahamu watesi wa Mh Lissu. Wanachohitaji hivi sasa nikutaka kuwaona hao watu LIVE wenye roho za kishetani namna ile. Watu wachache wamechafua taswira ya nchi yetu bila aibu. Mbaya zaidi kuna wapuuzi wachache humu wanaojaribu kuutetea ushetani ule. Kamwe hamtofanikiwa zaidi ya kuambulia aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nashangaa kwa nini watu wanafikiri kuna ukakasi katika hili tukio.Hili jambo liko wazi kama jua la mchana.Waliohusika ni serikali na Jiwe ndio aliyetoa order.Mtu ambaye namshangaa ni Kipilimba.Kiongozi wa kidini alafu anashirika haya madudu.Ni kiongozi gani wakidini ambaye anaweza kubariki hivi vitu.So shameful on him.

I hope jamii ya kimataifa ifanye kitu before uchaguzi 2020.Kwani bila sivyo,kutakuwa na uchaguzi kiini macho.Tubinywe kama Smaduro wa Venezuela,kurudisha sense kwa hili jiwe bishi.
 
Aliyekuambia ukiwa kiongozi wa dini uwezi kuua msaliti ni nani?king Solomon aliuwa maelfu na ndiye mfalme aliyebarikiwa kushinda wafalme wote.
Mimi nashangaa kwa nini watu wanafikiri kuna ukakasi katika hili tukio.Hili jambo liko wazi kama jua la mchana.Waliohusika ni serikali na Jiwe ndio aliyetoa order.Mtu ambaye namshangaa ni Kipilimba.Kiongozi wa kidini alafu anashirika haya madudu.Ni kiongozi gani wakidini ambaye anaweza kubariki hivi vitu.So shameful on him.

I hope jamii ya kimataifa ifanye kitu before uchaguzi 2020.Kwani bila sivyo,kutakuwa na uchaguzi kiini macho.Tubinywe kama Smaduro wa Venezuela,kurudisha sense kwa hili jiwe bishi.
 
We are living in the world of imagination. Wewe ulivyokuwa secondary kwenye hesabu ulivyokuwa unasema let X=10 hiyo 10 ulikuwa unaitoa wapi? Mbona ulikuwa unapata jibu?
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
 
Wapigania haki za binadamu kote duniani wameshamfahamu watesi wa Mh Lissu. Wanachohitaji hivi sasa nikutaka kuwaona hao watu LIVE wenye roho za kishetani namna ile. Watu wachache wamechafua taswira ya nchi yetu bila aibu. Mbaya zaidi kuna wapuuzi wachache humu wanaojaribu kuutetea ushetani ule. Kamwe hamtofanikiwa zaidi ya kuambulia aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kaka mkubwa Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na waliotaka kuua wakigundulika dawa yao ni Nini?
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary Slip, aliyemtuma balozi wewe unamjua? Nimegundua nyie mashabiki wa Kilema, wengi ni vichwa panzi, akili zenu fupi sana! Naomba tufunge mjadala, maana huna hoja unataka kubishana tu.
Waswahii wanasema usimcheke KILEMA kabla hujafa... Kupenda kilema sio kosa, Mkuu, kosa ni kucheka kilema wakati hujui nini kitakutokea kabla hujafa
 
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app

..YES, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa taarifa za UKWELI na kutenda HAKI.
 
Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Kuna mahali Lisu kasema Makonda ndiye ka excute hiyo mission ? Kwani kuwa "masterminder" kama unavyosema pia hakumuhusishi huyo makonda na tukio zima ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Fact yawezs kua kwelk au isiwe kweli..hizo ni circumstancial facts
 
Back
Top Bottom