Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Siku baada ya shambulio(tarehe 8/09/2017), alionekana Morogoro anapiga tizi majira ya asubuhi, akinyosha misuli baada ya kazi nzito jana yake...
Usiku walikesha kwa mganga wa kienyeji wakiwa na le mutuz, jerry muro, cyprian Musiba na Heri kisanduku siyo siri tena Bashite ndiye alikwenda Dodoma kumshambulia Tundu Lisu
 
....Morogoro.... Kihonda....kuna gari zikawa zinakuja speed DOM MORO road! Daladala moja ikawa kama haieleweki pale barabarani! Basi wale wa kwenye gari iliotokea uelekeo wa DOM, Mmoja akashusha kioo! Akanyanyua juu SILAHA YA MZUNGU! Dereva wa daladala akawa mpole. Akatii! Jamaa wakapita na zao
Siku baada ya shambulio(tarehe 8/09/2017), alionekana Morogoro anapiga tizi majira ya asubuhi, akinyosha misuli baada ya kazi nzito jana yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Hapana. Anaweza kuwa kamanda ndani ya uwanja wa mapambano. Yeye hashiki bunduki. Yeye nanatoa amri tu bunduki ielekezwe wapi na kazi ilipokamilika, kazi ya kamanda ni kutoa ripoti kwa jenerali wake. Mshika bunduki yeye alitimiza amri tu.
 
Kuna baadhi ya mambo ukiyatafakari kw kina unapata jibu kuwa kwa nn makonda haguswi

Sent using Jamii Forums mobile app

Maliyamungu Bashite ana siri nyingi za mtukufu malaika toka chato ikiwemo madili ya ununuzi wa ndege zile 10% zote malipo ya cash hupitia kwa Bashite mipango yote ya hovyo hovyo huchongwa na Maliyamungu Bashite yaani itokee magufuli augue afe kama Rais wa malawi au Zambia ujue siku hiyo hiyo makonda a.k.a Maliyamungu Bashite atahama Nchi kwenda kwenye majumba yake Marekani, South Africa na Dubai kwani hata CCM wenzake hawamtaki lakini kwa ni msiri wa mtukufu wanaogopa kumfanyizia.
 
Kwa nchi zenye utawala wa sheria wangeanzia hapa na sio Kwa dereva
Ni kweli kabisa. 90% ya ushahidi wote uko bongo , eneo na jinai ( crime scene) liko bongo , gari la wajeruhiwa liko bongo lakini bado wanakazania oh dereva njoo tukuhoji! Aje wamuhoji ili waamminye mbupu au wamakatie donge nono ili atoe maelezo wanayoyataka wao! Polisi siwalaumu kwa hili, liko juu ya uongozi wa polisi. Makachero wa kitanzania wakiachiwa hii kazi bila kuingiliwa na wanasiasa Mara moja wanasuluhisha hili swala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maliyamungu Bashite ana siri nyingi za mtukufu malaika toka chato ikiwemo madili ya ununuzi wa ndege zile 10% zote malipo ya cash hupitia kwa Bashite mipango yote ya hovyo hovyo huchongwa na Maliyamungu Bashite yaani itokee magufuli augue afe kama Rais wa malawi au Zambia ujue siku hiyo hiyo makonda a.k.a Maliyamungu Bashite atahama Nchi kwenda kwenye majumba yake Marekani, South Africa na Dubai kwani hata CCM wenzake hawamtaki lakini kwa ni msiri wa mtukufu wanaogopa kumfanyizia.
Lakini Mkuu mwisho wa ubaya ni aibu siku zote i do trust there's no debit will go unpaid in this earth

Hata kama si kwa awamu hii ipo siku watalipwa kwa kadri ya matendo yao nd as you can see njiti moja inaanza kuwasha moto msitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Fact ipi unataka?

●Kuwa eneo linalilindwa 24hrs lkn wakati wa tukio hawakuwepo, siyo kweli?

●Kuwa Makonda alikuwa Dodoma badala ya Dar ambako report ya makinikia alikabidhiwa, siyo kweli by the way ni tukio lipi lingine la kitaifa ambalo linafanyika Dar Makonda anakosa?

Ni fact zipi unahitaji mwenzetu weyeee?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?



Sent using Jamii Forums mobile app
"Kama ambavyo siyo watu wote watakupenda, ndivyo pia siyo watu wote watakuchukia"-@Twilumba 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hao ndo wanaotafuta ajira serikalini..

Hata tukio lenyewe bado linaacha maswali kama mtekelezaji au aliyetumwa kufanya hiyo operation.
1: walitumwa kumfuatilia wakaona anawasumbua kwa uvivu wakaamua kufanya maamuzi yao. ! ( kupiga) kama tujuavyo kwenye gari nyingi za vyombo maalumu silaha hazikosekani . Kama hivyo ndivyo basi wanaowajibika ni wao wenyewe!

2:walitumwa kumzimisha halafu kutokana na ama huruma au uzembe wakashindwakutimiza kusudio maana yake aliyetumwa sio mtu sahihi, ama hajui kazi yake sawasawa.
Hapa pia yupo anayewajibika ama kuwajibishwa.

3: wale waliobanwa kwenye kona ya St peters wakimfuatilia mmoja alikimbia mwingine alibaki akahojiwa na TL, je alisema nini? Na ni yepi yalikuwa mazungumzo yao.? Ama makubaliano yao? (Siri).
Kwanini isiwe kuwa ndio huyu anayempa TL taarifa zote muhimu.

4: kama TISS wanaweza kuwekewa mtego kiurahisi tu na Tundu Lissu wakanasa je wanaweza kuaminiwa kwa mission nyingine kubwa bila kufeli?

5: Je, tuna uhakika watu wote walio TISS au polisi nu watu sahihi wenye ujuzi na uwezo stahiki.,? Au ni wale waliopata kazi kwa migongo ya wajomba na shangazi zao kisha leo wanatumika kulilpa fadhira?

Mwisho;
Iwe kusudi uzembe au bahati mbaya kwa tukio la TL kuna mtu ama watu wanatakiwa kuwajibishwa haraka, wao na mtandao wao wote, kabla hawajaleta madhara zaidi kwa Taifa hili.
Naamini aliyetekeleza tukio lile yupo na anasoma kinachoendele kwenye mitandao ya kijamii. Kunya unye wewe harufu uwapakaze wengine..[emoji53][emoji53]
Who f*cken care,watanzania tunataka kujua ukweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupac Lissu,Stori za kutunga na kuhisi azinaga nafasi kwenye nchi inayojitambua rudi nyumbani kupambana na JIWE period.
 
Ni kosa kuwa Dodoma?au ana report kwake na hakumruhusu kwenda huko Dodoma siku hiyo?Haki ya Mungu kuchanganyikiwa kubaya!Mwanasheria anaongea kama Std seven Failure!
 
Hili la Lissu halitapita hivihivi, Justice must be done!
Otherwise wahusika watasakwa na kufikishwa katika mkono wa sheria hata kama watakuwa ni vikongwe!
 
Back
Top Bottom