Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengi tu huko kote unakokutaja ambao wanaunga mkono juhudi za ujenzi na ununuzi kwa mdomo.
 
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri hao watumishi wana roho mbaya kama yako? Kwa taarifa yako, hata ndani ya CCM na serikalini, kuna watu wengi sana hawakufurahishwa na huu unyama. Anapewa taarifa za ndani na watu wa ndani kabisa. Na siyo rahisi kujua ni nani hao. Na siku zinavyozidi kwenda ndivyo informers wake wanavyozidi kuongezeka. He is well informed na ana reserve some information ili informers wake wasijulikane. Hizo anazozitoa ni dondoo tu. Soon we gonna speak the same language.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
Lakini ni ya kweli haya! Kwani paul makonda hakuwa Dodoma ? Kwani magufuli hakuyasema hayo aliyonukuliwa? Ukweli.siku zote utakuwa ukweli tu. Kwenye nchi zilizo na utawala wa kisheria, kwa kutoa kauli ile magufuli ilitakiwa ahojiwe na vyo ulinzi na usalama kama sehemu ya uchunguzi. Circumstantial evodences / na au theory ktk maswala haya ni ushahidi tosha wa kuwahoji makonda na magufuli. Makonda aelezee je ni kweli kuwa alikuwa dodoma siku ya tukio la mh lisu na pili aeleeze ni kweli alionekana akifanya mazoezi morogoro siku iliyofuata baada ya tukio?. Haya yote yanaweza kuwa siyo mambo mabaya kwa makonda lakini yalitakiwa yatolewe maelezo ya kipolisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako ICC wanasikiliza kesi za assassination attempt. Kuwa na watu kama nyie kuwaongoza mbowe hana kazi ya ziada.
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia nadala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
YES, BAADA YA KUPIGWA RISASI LISSU ZILIONEKANA GARI ZIKIPITA KWA SPEED KALI KUELEKEA MOROGORO GHAFALA JAMAA AKAONEKANA AKIPIGA TIZI YUKO SOKONI MOROGORO ANASHANGILIWA NA ARAIA
 
Lakini ni ya kweli haya! Kwani paul makonda hakuwa Dodoma ? Kwani magufuli hakuyasema hayo aliyonukuliwa? Ukweli.siku zote utakuwa ukweli tu. Kwenye nchi zilizo na utawala wa kisheria, kwa kutoa kauli ile magufuli ilitakiwa ahojiwe na vyo ulinzi na usalama kama sehemu ya uchunguzi. Circumstantial evodences / na au theory ktk maswala haya ni ushahidi tosha wa kuwahoji makonda na magufuli. Makonda aelezee je ni kweli kuwa alikuwa dodoma siku ya tukio la mh lisu na pili aeleeze ni kweli alionekana akifanya mazoezi morogoro siku iliyofuata baada ya tukio?. Haya yote yanaweza kuwa siyo mambo mabaya kwa makonda lakini yalitakiwa yatolewe maelezo ya kipolisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mara ngapi makonda kaenda dodoma au mara ngapi magu kayaponda majizi na mahaini kwa maneno?
Au nyie mnaona hiyo aliyotandikwa risasi tu?
 
YES, BAADA YA KUPIGWA RISASI LISSU ZILIONEKANA GARI ZIKIPITA KWA SPEED KALI KUELEKEA MOROGORO GHAFALA JAMAA AKAONEKANA AKIPIGA TIZI YUKO SOKONI MOROGORO ANASHANGILIWA NA ARAIA
Nani aliziona hizo gari? Na zilikiwa na nani?
 
my god yaani tukio la miaka 2 tu mshasahau??unataka majina ya raia walioliona?why usiulize ma traffic wa barabarani ile speed ilikuwa ya nini na ni kina nani?halafu tusichoshane bana,ukimaliza kuuliza hilo swali kaulize ya cctv kwa kalemani na aliyewatoa walinzi lindoni
 
Back
Top Bottom