Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Ni mara ngapi makonda kaenda dodoma au mara ngapi magu kayaponda majizi na mahaini kwa maneno?
Au nyie mnaona hiyo aliyotandikwa risasi tu?
Mjomba hoja nyepesi kama sufi ya tabora! Kwenda dodoma mara ngapi siyo ishu, mhusika mjuruhiwa mkuu anatoa shutuma kuwa anahisi fulani na fulani walihusika na yaliyomsibu, na siku ya hayo majanga huyu mtu anahisi alikuwa sehemu ya tukio. Ustaarabu ilikuwa makonda ahojiwe ili wamu eliminate kama suspect. Kwa maisha ya kawaida huko mitaani kwetu, ukienda kutoa ripoti polisi kuwa unahisi fulani amajaribu kukuua polisi lazima wafunge safari na huyo mtu lazima aitwe kituoni kutoa maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari wa kwanza kishatajwa.... Mpaka tutawajua wote walihusika na mchongo huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shida kubwa mahali. Mtaalamu mkubwa wa sheria anatoa accusation kuwa Makonda ni suspect ahojiwe sababu kasikia siku hiyo alikuwa Dodoma badala ya kuwa Dar kwenye sherehe. Ni hilo tu?
Sad enough, pembeni unasikia sauti ya supporter mmoja, “ tena alionekana kwenye SUV “
Kuna shida mahali.
 
kwakweli ni upuuzi........ hadithi za kutunga zinazofanana na ukweli... wajinga watamwamini thou

zinaaminika na wajinga si sababu zinafanana na za kweli Ila sababu wanaotakiwa kutoa hadithi ya kweli hawajafanya hivyo. So far hadithi iliyopo ni yake tu. Wanaohusika nao wakija na ya kwao itakuwa rahisi kwa wajinga kufunguka.
 
Alipona kwa miujiza! tunakubaliana?
Miujiza inatoka kwa Mungu! Unaamini?
Kama Mungu alimponya kwa miujiza bila shaka alijua atasema anayosema sasa na atakayoendelea kusema. Mnaoamini dini huku mnaponda ponda tu ni kama waabudu sanamu!
Kama mamlaka hii iliwekwa na Mungu basi haikuhusika na tukio hili ovu.
suluhisho ni kupeleleza na kuja na ripoti sio kumkandamiza mtu aliyechanganywa na tukio lenyewe!
 
Wakil Msomi
Una kila ushahid twende mahakaman
Ukizngatia huyo anayeitwa Jamhur hajawahi kushinda yyte ulosimama nae kortin

Lets go kamanda acha bla bla bla bhanaaaa ughaibuni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom