Mjomba hoja nyepesi kama sufi ya tabora! Kwenda dodoma mara ngapi siyo ishu, mhusika mjuruhiwa mkuu anatoa shutuma kuwa anahisi fulani na fulani walihusika na yaliyomsibu, na siku ya hayo majanga huyu mtu anahisi alikuwa sehemu ya tukio. Ustaarabu ilikuwa makonda ahojiwe ili wamu eliminate kama suspect. Kwa maisha ya kawaida huko mitaani kwetu, ukienda kutoa ripoti polisi kuwa unahisi fulani amajaribu kukuua polisi lazima wafunge safari na huyo mtu lazima aitwe kituoni kutoa maelezo.
Sent using
Jamii Forums mobile app