Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Unafikiri hao watumishi wana roho mbaya kama yako? Kwa taarifa yako, hata ndani ya CCM na serikalini, kuna watu wengi sana hawakufurahishwa na huu unyama. Anapewa taarifa za ndani na watu wa ndani kabisa. Na siyo rahisi kujua ni nani hao. Na siku zinavyozidi kwenda ndivyo informers wake wanavyozidi kuongezeka. He is well informed na ana reserve some information ili informers wake wasijulikane. Hizo anazozitoa ni dondoo tu. Soon we gonna speak the same language.

Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously well informed kuwa Makonda alikuwa Dodoma siku anapigwa?
Pure udaku...
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Kwani hatakiwi kuongea kwa hisia? Mbona wewe umeandika kwa hisia? Msituchanganye hata mahakamani kuna kitu kinaitwa "circumstancial evidence"! Jibuni maswali yake: Kwanini mliondoa wale askari langoni kabla ya kushambuliwa, na kwanini mliondoa CCTV kamera kwenye nyumba ya Kalemani baada ya kushambuliwa?
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
JF great thinker - leta hiyo unayosema sio circumstantial au fact. Tundu Lissu hajajibiwa hata hoja moja. Lumumba wanatumia spinning tactics za 1940s. Jibu maswali ya msingi. 1. Nani aliamuru walinzi kutoka Lindoni ili wapiga risasi waingie kufanya yao. na Ziko records za CCTV na kwanini cctv cameras ziliondolewa. Msukumo gani unakataza asilipiwe matibabu wakati katibu wa afya , spika na waziri wa afya walikuwepo kwenye maamuzi ya kwenda Nairobi na walikubali kwa msisitizo wa katibu wa afya.

Hayo maswali yakijibiwa na kuanza wote kuungana kuwasaka wasiojulikana kwa pamoja tutaanza safari.
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Kweli kabisa. Kama ana ushahidi (hata kama ni circumstantial) aende mahakamani. Roman-Dutch law inayotumika Tanzania inapokea circumstantial evidence; mradi tu huo ushahidi uwe wa kuaminika beyond reasonable doubt. Kusema Makonda alikuwa Dodoma hakutoshi. Kwani ni yeye peke yake aliyekuwa Dodoma kiasi kwamba kitendo cho chote kilichotendeka ni budi kiunganishwe naye kwa kuwa hakukuwa na mtu mwingine wa kukifanya?
 
Ingekuwa roho mbaya kama unavyodai kusingekuwa na viapo na miiko ya kiutendaji.. siri za kila Taifa zingekuwa hadharani, mmomonyoko wa maadili na mahaba ya kipuuzi ndiyo yanayofanya Nchi zetu ziendelee kuwa maskini unaaminiwa kwenye utumishi wa umma halafu unaleta mahaba. Mkifukuzwa kazi mnalalamika. Mmeonewa nimkumbushe tu huyo anayempa taarifa kuwa mkono wa serikali yoyote haujawahi kuwa mfupi hata siku moja ni suala la muda tu.
ACHA ROHO MBAYA.
usiwe na ROHO ya shetani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu serious! Umepewa agizo ukatekeleze halafu unafanya vile? 38 bullets ? Hivi kweli unaweza kuwa na mafunzo yoyote ya maana, Ilikuwa nini hasira? Uzembe? Hofu..? Mi nadhani kwa mtu aliyepitia mafunzo sahihi hawezi kuwa na uzembe kiasi hicho kwa sabbu matokeo ya Uzembe wake yanaweza kuwa makubwa mara dufu..

Kwa hali ile ina maana dereva wa TL alikuwa na mafunzo zaidi ya waliotumwa..
Hata wasiojulikana wamemchoka jiwe
Hata wao wanaweza pima uzito wa kazi
Ingawa ni wajibu kutekeleza amri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maana hiyo TL anamaana ya kwamba kati ya zile gari 2,huenda naibu alikuwepo aidha kwenye Nissan kushuhudia shambulizi.!?



naibu aweza kuwa alishuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
Siku ya kupokea report,kwanini Makonda alikuwa Dodoma?Yaani hapo ndio unaona umuhimu wa wachunguzi huru,hii ni circumstancial evidense!
 
Kama taarifa hizo ni za kweli wameenda mbali zaidi ya kujali maadili yao ya kazi,wameeamua kujali na kutanguliza mbele utu zaidi.
Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ni kweli taarifa zao ninazo mapema kwa Bahati nzuri huyo misri wa Maliyamungu Bashite yaani Le mutuz ni mtu wa kupenda michepuko tulimpenyezea michepuko kazaa ikawa inampelekeza na kumsikiliza kwa umakini pindi apoongea tukapata taarifa nyingi sana pasipo wao kujua na pia taarifa zingine zilivuja kupitia jerry muro na cyprian Musiba ambao pia ni wadhaifu huku taarifa za Bashite mwenyewe zikivuja kwa njia za kisayansi zaidi pamoja na wapambe wake kujisahau wakaropoka, nikitulia nitakupa mipango yao mpiya wanayopanga kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa TFF utashangaa kama siyo kuzimia
Asante mkuu lisemwalo lipo na nina asilimia nyingi za kukuamini according na yaendeleayo, maana kiitifaki wanaotakiwa kuongea na kujibu hoja za lissu wao hawapo but wamekua frontline as if yule mbunge wao.

Tupo pamoja mkuu, kupitia lissu ndio nimeelewa kwanini wanasemaga Yesu alikufa msalabani ili wakristo wakombolewe, na hapa naona lissu alitaka kuuliwa dodoma kushindikana kwake ndio ukombozi kwa wale wote waonewao kisa siasa na kuongea ukweli hadharani.

Shusha nondo mkuu tutachanganya na zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom