dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,914
Bado kuna nafasi kubwa kwa serikali kukaa na wapinzani na kurekebisha walipo kosea akiwemo kuruhusu uhuru wa demokrasia, haki kwa vyama vyote vya siasa na kulinda haki za binadam. Amini nakuambia Mh Lissu anayo mengi yenye ushahidi usio na shaka kuhusiana na shambulio lake, haya anayoyaongea ni punje siku akiweka yote wazi hapo magogoni hapatokalika.Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.