Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

wewe ndio mpumbavu haswaa,unamshambulia Lissu kama nani?mbona wewe ni shoga tunakujua mtaani hapa kwa nini usiende ukashtaki umoja wa mataifa ili wakulinde utangaze ushoga wako hadharani?mbona unapumuliwa kisogoni kwa kificho?
Kumbe ni chakula
 
hata wewe utakufa siku siyo zako,wacha azurure kinakuuma nini wati hata pesa ya matibabu mlimnyima ili afe
 
Mkuu angalia na upande wa pili itakuwa je siku ukweli wa anayoyasema Lisu yatakapothibitika yana ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuhh, hii kama ni kweli, basi wanaopinga watatafuta kwa kujificha. Naona kama ina kaharufu ka ukweli hivi..... Ngoja tusubiri, muda utaongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sina shaka kuwa Lissu anahitaji tiba ya akili. Kwani hapa nchini nani asiyemwongelea Rais Magufuli, kwa mabaya na mazuri, pasipo na wasiwasi wowote?

Hata aliongea nao nadhani wanamwona kama mtu aliyechanganyikiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…