Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

JIBU HOJA HII
Lizaboni
LIKUD
 
Makonda ni wa kufeli tu, hata ile specialization yake ya assassination nayo inamshinda. Lissu yuko anapumua. Nina imani hata Ben Saanane na Azory Gwanda tutawapata wakiwa hai
 
Lowasa na ccm yake hakuna anaye wahitaji tena labda mkaongoze hukoo dodoma
Hawezi sababu rais wetu kipenzi cha watanzania Mh Edward Lowasa hajamaliza kipindi chake cha urais wa Facebook JF Twitter na Instalgram hajamaliza mkuu
 
Hii ndiyo sura ya Bashite Leo hii akikumbuka miaka miwili kamili imepita aliyetumwa kummaliza yupo hai.
Na woga mkubwa wa Bashite ni kuwa pengine anahakika Lissu na Dereva walimtambua kwani hakuogopa kujificha akijua wanakufa, sasa kwa nini Lissu au dereva hawamtaji kumuona? Kwa nini wanatumia ile style inayoogopwa sana na wezi ambayo inaweza mfanya mwizi akimbilie polisi mwenyewe nayo ni KUMFUKUZA KIMYAKIMYA. Anajiuliza Lissu anampango gani na mimi kunifukuza kimyakimya?
 
Leo Mugabe kafa hali alikuwa na uwezo wa kuamua nani aishi na afe. Unamuuwa mwanadamu mwenzio sababu ya tumbo unakufa unaviacha vyote duniani kama mugabe alivoacha vyote na kwenda kuona na Morgan Tsavingari sawa na kuukimbiza upepo hukumu duniani na mbinguni inakusubiria pia.
 
Makada wa CCM hawawezi kuelewa hiyo comment yako
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

Facts gani unataka upewe?

Mfano hebu sema uongo ulipo kwenye facts hizi;

1. Ni uongo kuwa Paul Makonda hakuwa Dar siku wanakabidhiwa ripoti ya makinikia ndani ya DAR mkoa anaouongoza?

2. Ni uongo kuwa Paul Makonda hakuwa Dodoma siku assassination attempt dhidi ya Lissu inatendeka? Kama ni uongo, sema wewe kwa facts zako alikuwa wapi....!!
 
Bashite na cyprian Musiba ndiyo waratibu wa shambulio ambalo lilitekelezwa na nyaulingo heri kisanduku huku wengine akina Le mutuz na wenzao wakisalia ndani ya Gari
 
Bashite na cyprian Musiba ndiyo waratibu wa shambulio ambalo lilitekelezwa na nyaulingo heri kisanduku huku wengine akina Le mutuz na wenzao wakisalia ndani ya Gari
kwani le mutuz ni kitengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…