Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Umafya wa kuua? yana mwisho ndugu na tusijadadie ujinga wa damu.
 
Musiba kila analosema anasema.................................
 
TL angekuwa na mteja wake aliefanyiwa mabaya kama haya na akiwa na data zote hizi kama nizauhakika najua angemwambia twende tufungue kesi. Sasa nashindwa kuelewa yeye ni mwanasheria anasubiri nini kufungua kesi ili apate haki yake mahakamani? Mbona kesi ya kuvuliwa UBUNGE kashafungua?
 
Hizi Juhudi za utu wema wa maaigizo unaofanywa na Bashite ni matokeo ya Roho Mtakatifu kumshuhudia habari ya dhambi zake
Hivyo kwa ujinga wake badala ya kutubu anajituma kujifanya anafanya matendo ya huruma na yanayofanana na hayo.
Utateseka sana wala kuruhusu Injili kwenye majumba ya Starehe sio Suluhisho


Tubu utapona
Umeua sana na umepoteza wengi,damu zao zibakufuata kila uendapo
 
Huyu Lissu ovyo ovyo tu.kwani kuna watu ambao hawatakiwi kwenda Dodoma ?
 
Sisi ni binadamu tu hatujui chochote lkn bible inasema kisasi ni juu ya Bwana.
Damu ya mtu ni hatari sana sana unaweza kufanya jambo kwa ajili ya mkate wako lkn laana ikakutesa wewe mpaka wajukuu zako.
Very sad.
 

So what! Kama anawajua waliompiga risasi akawataje mahakamani.otherwise msituchoshe na kelele za chura kwenye Maji.
 
Wa
Inabidi tunyamaze tu... China baada ya Mao kulipatikana "genge la watu wanane!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…