Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Umeacha huo mchezo au bado??Wasalimie mademu zangu elitwege barbarosa na wewe mwenyeweUpuuzi mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeacha huo mchezo au bado??Wasalimie mademu zangu elitwege barbarosa na wewe mwenyeweUpuuzi mtupu.
Tabia zao za kubinuliwa zinajulikanaUmemjuwajeeee[emoji16][emoji16][emoji16]?
Hebu binuka nikushughulikie kikamilifu. Manaake naona una kilinyelinye.Umeacha huo mchezo au bado??Wasalimie mademu zangu elitwege barbarosa na wewe mwenyewe
Hawawezi kuacha huo mchezo ndiyo unawaweka hapa mjini bk7 ndogo sana.Umeacha huo mchezo au bado??Wasalimie mademu zangu elitwege barbarosa na wewe mwenyewe
Ingekuwa ni ndugu yako aliuumizwa kiasi hiki usingesema haya, ila kutokana na ujinga, ushenzi na umbumbumbu wako wako unaona ni sawa tu.Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Ok.Ingekuwa ni ndugu yako aliuumizwa kiasi hiki usingesema haya, ila kutokana na ujinga, ushenzi na umbumbumbu wako wako unaona ni sawa tu.
Umafya wa kuua? yana mwisho ndugu na tusijadadie ujinga wa damu.Lissu unakosea,kama ni 'mission' sio lazima ai excute yeye Makonda mwenyewe,unless Makonda ni mafia na yeye..anashika bunduki...na sio 'masterminder'...
Musiba kila analosema anasema.................................Kuna mtu anamwambia..kila analosema anasema "nimeambiwa"!! Huyu mtoa taarifa anayefanya kazi serikalini adhabu yake hasa ni ipi..?
Kwa mujibu wa maelezo yake Tundu lissu ana vyanzo vya taarifa kutoka Usalama wa Taifa, kutoka Polisi, kutoka Bungeni, kutoka Wizara ya Afya. Na kila sehemu ambao wanampa hizo taarifa nyeti.
Katika moja ya maelezo yake amesema hataki kumtaja huyo mtoa taarifa wake sabbu akimtaja "atauwawa"!!
Je huyu mtoa taarifa mara atakapogulika /ama watakapogundulika kufanya hivyo adhabu yao halisi huwa ni ipi?
Je, maadili yao ya kazi yanawaruhusu kutoa hizo habari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia zao za kubinuliwa zinajulikana
Unataka nikumwagie gojo huko kwenye nanihino yakoHebu binuka nikushughulikie kikamilifu. Manaake naona una kilinyelinye.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3]Hawawezi kuacha huo mchezo ndiyo unawaweka hapa mjini bk7 ndogo sana.
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

Mahakama zipiSo what! Kama anawajua waliompiga risasi akawataje mahakamani.otherwise msituchoshe na kelele za chura kwenye Maji.
Ni si YuMungu yu mwema.