SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ngoja waendelee kujitia madoleHalafu eti wanataka wamdhuru na Zitto Kabwe. Wanataka kuendelea kujipalia makaa. JIWE NA VIBARAKA WAKE PRESSURE INAPANDA, PRESSURE INASHUKA.
Wewe pigo lako la umaskini na ujinga teyari malipo yako yameshajibiwaHata mimi nilikuwepo na nilifanya bonge la pati kwa furaha.
Hata ukishangilia uchi, Chato hutakaa upajue/kukanyaga!Hata mimi nilikuwepo na nilifanya bonge la pati kwa furaha.
Na laana iwe juu yako na uzao wako.Hata mimi nilikuwepo na nilifanya bonge la pati kwa furaha.
AaaaminTunakumbushia tuu, Mungu ni wetu sote!
Furaha yako ilitokana na nini?Hata mimi nilikuwepo na nilifanya bonge la pati kwa furaha.
Ndio keshafika huko sasa mnapiga kelele za nini na hatua ndio zinaanza kuchukuliwa na hao mabwana zako wanasubiriwa wamalize Tu hayo madaraka wafikishwe kunakostahili.Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Kinara wa kusifu alikua Kangi Lugola, tena bila aibuWafuta viatu wote wa Lumumba!!!!!! Jiwe hawa amini hata kidogo! shangilieni, sifuni! tubuni kwake lkn, hawapendi ng'oooo! siku mkijichanganya tu! anawageuka tena bila msamaha!
Imani ya J.P Magufuri ni ''Kikulacho ki nguoni mwako!'' hii slogan inawatafuna sana, wana Lumumba vipofu!
Kama kweli huyo nanilii alikuwa Dom alikuwa anaratibu shughuli gani huko, siku hiyo?
Hints:
Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.
Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.
Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.
Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.
Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.
Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.
Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.
Ndiye alikwenda Dodoma kufanya shambulio akiwa na akina Cyprian Musiba, Le mutuz, Jerry muro ambapo yeye na le mutuz wabakia kwenye Gari iliyopaki getini lakini Cyprian Musiba yeye alikuwa kwenye Nissan nyeupe ambayo ilikuwa na Heri kisanduku na nyaulingo ambao ndiyo walimpiga Risasi kote Tundu lisu, FBI.CIA walituma wapelelezi wao kwa siri kubwa wakafanya uchunguzi wakawapatia Uongozi wa chadema ukweli wote ndiyo maana America wamemnyima Viza kwani taarifa zake zote wanazo.Kama kweli huyo nanilii alikuwa Dom alikuwa anaratibu shughuli gani huko, siku hiyo?
Kwa posho hiyo hiyo ya buku 7?Hata mimi nilikuwepo na nilifanya bonge la pati kwa furaha.
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Kuota ni haki yako kikatiba.Alishaenda kushtaki kwenye Umoja was Mabunge Duniani kabla sauti haijakauka.,. Mtamuona very soo, nyoko kweli
Kitochi Original
So ulitaka aende? Ndio nakujulisha sasa kuwa kaenda! TulieniKuota ni haki yako kikatiba.