Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Wafuta viatu wote wa Lumumba!!!!!! Jiwe hawa amini hata kidogo! shangilieni, sifuni! tubuni kwake lkn, hawapendi ng'oooo! siku mkijichanganya tu! anawageuka tena bila msamaha!

Imani ya J.P Magufuri ni ''Kikulacho ki nguoni mwako!'' hii slogan inawatafuna sana, wana Lumumba vipofu!
 
Mungu kumponyesha Lissu ni ishara kuwa anampenda na hakufurahishwa na upuuzi wa Makonda na genge lake. Memo kutoka US na World Bank ni mvua za rasha rasha dhidi ya huu utawala dhalimu na wa kishamba wa awamu ya 5.

Na ni ujumbe mkali pia kwa mwanaizaya, mwanamtoka pabaya, shoga Barbarosa anayejisifu alihusika kumdhuru Lissu. Aibu yenu karma imeanza kuwajibu.
 
Mpumbavu kwake hata kama jambo liko wazi sana bado ataligeuza kuwa la siri sana. Na walinda maslahi ya matumbo yao kamwe hawawezi kuusikia uchungu na Maumivu ya aliyejeruhiwa na Serikali dhalimu. Angekufa nadhani ungefurahi sana.


Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
[/QUOT
 
Write your reply...hakuna kitu ambacho sio cha kuchezea kama damu ya binadamu.ukitaka kujua hilo angalia maisha ya majambazi au askri walio shiriki vita
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?
Ndio keshafika huko sasa mnapiga kelele za nini na hatua ndio zinaanza kuchukuliwa na hao mabwana zako wanasubiriwa wamalize Tu hayo madaraka wafikishwe kunakostahili.
 
Wafuta viatu wote wa Lumumba!!!!!! Jiwe hawa amini hata kidogo! shangilieni, sifuni! tubuni kwake lkn, hawapendi ng'oooo! siku mkijichanganya tu! anawageuka tena bila msamaha!

Imani ya J.P Magufuri ni ''Kikulacho ki nguoni mwako!'' hii slogan inawatafuna sana, wana Lumumba vipofu!
Kinara wa kusifu alikua Kangi Lugola, tena bila aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.

Kama kweli huyo nanilii alikuwa Dom alikuwa anaratibu shughuli gani huko, siku hiyo?
 
Kama kweli huyo nanilii alikuwa Dom alikuwa anaratibu shughuli gani huko, siku hiyo?
Ndiye alikwenda Dodoma kufanya shambulio akiwa na akina Cyprian Musiba, Le mutuz, Jerry muro ambapo yeye na le mutuz wabakia kwenye Gari iliyopaki getini lakini Cyprian Musiba yeye alikuwa kwenye Nissan nyeupe ambayo ilikuwa na Heri kisanduku na nyaulingo ambao ndiyo walimpiga Risasi kote Tundu lisu, FBI.CIA walituma wapelelezi wao kwa siri kubwa wakafanya uchunguzi wakawapatia Uongozi wa chadema ukweli wote ndiyo maana America wamemnyima Viza kwani taarifa zake zote wanazo.
 
Back
Top Bottom