Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kuna mataahira kutoka Chadema yanamtukana Dr. Slaa
Asante kwa mawazo yako.Mkuu, kuna kipindi nimeanza kuwa na shauku kubwa moyoni mwangu kwamba, unafaaa sana kuwa kiongozi mkubwa katika hii nchi,
Haujawahi kuwa mnafiki! Unasimamia ukweli hata kama unakereka kwa wengine! Watu aina yenu ni wachache saana na nadra mno katika dunia hii ya leo yenye kujikomba komba ili kukwepa lawama
Mungu akuinue mkuu
Simaanishi CCM wanatuma waandishi, nachomaanisha, majibu anayotoa Lissu kwenye maswali anayoulizwa, jamaa wako pembeni kutafuta "gap" walitumie kuingiza ajenda zao kwa manufaa ya chama chao, awe makini.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwamba hao waandishi wanatumwa na Ccm?
SawaSimaanishi CCM wanatuma waandishi, nachomaanisha, majibu anayotoa Lissu kwenye maswali anayoulizwa, jamaa wako pembeni kutafuta gap walitumie kuingiza ajenda zao kwa manufaa ya chama chao.
Una mahaba sana na Chadema ,hongera sana..amejibu kwa usahihi kabisa kuhusu Mh.Mbowe.
..tatizo kuna baadhi tayari wanayo majibu ya maswali wanayotaka Lissu aulizwe.
nasikia jimbo lipo wazi kwake wa tiketi ya CCM 2025.Silaa ni baba wa demokrasia bungeni. Alipikwa na kanisa Katoliki.
Simaanishi CCM wanatuma waandishi, nachomaanisha, majibu anayotoa Lissu kwenye maswali anayoulizwa, jamaa wako pembeni kutafuta "gap" walitumie kuingiza ajenda zao kwa manufaa ya chama chao, awe makini.
Dr Slaa akili kubwa
Hajagoma kujibu swali bali ni wewe ndiye uliyegoma kuelewa ......!!Tundu Lissu amehojiwa na Dar 24 na miongoni mwa maswali ni faida ya ujio wa Edward Lowassa iliyosababisha kumpoteza katibu mkuu.
Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa na kudai Dkt. Slaa alikuwa katibu wao mzuri sana lakini amekataa Lowassa kuwa sababu ya Slaa kuondoka pamoja na kushindwa kuisema hadharani sababu halisi.
Kuhusu kutosha au kutotosha kwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe... Lissu alizunguka mbuyu na kushindwa kujibu swali hilo akidai ni wanachama wanaoamua na si yeye.
Labda Lissu anaweza kutufahamisha Dr Slaa aliondokaje kwenda Canada na baadae akaibukia UbaloziNakumbuka ni Lissu ndie alituambia Dr. Slaa alifichwa ndani na mke wake baada ya ujio wa Lowassa, na kama ameshindwa kuisema hadharani hiyo sababu nyingine, ndio haeleweki kabisa, kwani anaficha kitu gani?
Nikiangalia trend ya Dr. Slaa siku hizi, ni kama ameanza kurejewa na akili, na haya majibu ya Lissu kumhusu Dr. Slaa ni kama kumpamba, inawezekana kuna "mchezo" unaendelea chini ya carpet.
Najua Lissu anajua anategwa kwenye hizi interviews anazofanya kila siku, sasa kuliko kukwepa mitego na kutengeneza sintofahamu nyingine, ningemshauri akae chini na viongozi wenzake, wajue namna nzuri ya kufanya.
Kwasababu inavyoonekana, ni kama CCM wamekosa hoja za kuwaambia wananchi kwenye mikutano ya hadhara, ndio maana wako kimya, sasa wanachofanya ni kutafuta makosa kwenye mahojiano ya Lissu ili wazushe kuna mgogoro Chadema.
Duuuh, that feels like long time ago! Tumeona mengi miaka ya hivi karibuni!Dr. Slaa alishiriki mchakato wa kumkubali Lowassa kuja kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CDM, CCM kwa kujua adhari za Lowassa kisiasa ikaamua kuharibu mambo wakapitia kwa mchumba wa Dr. Slaa na kumwaga sumu kali huku fedha na ahadi za vyeo zikitawala.
Sasa Baada ya mchumba kuonjeshwa asali DR. akafichwa ndani kwa siku kadhaa...... Alipoibuka akaandaliwa press - yeye akaiita ni Press ya kuisimamisha nchi. Baada ya siku chache Mzee mwingine wa CUF na yeye akasema nafsi inamsuta akajiongoka UKAWA.
Kibaya kwake nchi haikusimama, na kiuhalisia kabisa Lowassa alishinda Urais, na kwa leo hao wazee wawili wanaishi huku nafsi zao zikiwasuta.