Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sitakuchagua hata useme nini

Mimi nitamchagua Lisu, nitamchagua kwa vile napenda ushirikiano na mabeberu, nataka mabeberu waendeshe taifa hili, sisi viazi tu hata hatuwezi kuliendesha. Namchagua Lisu asubuhi kabisa..
 
Kama ulitaka kumuua hukuweza sasa tutakushangaa ukimchagua
 
Unatia huruma sn mkuu. Huo wimbo wako unamwimbia nani vile? Kura ni siri yako, itapendeza ukashawishi wa sina yako ili msimpigie. Umekula maharage ya wapi??
 
Nimegundua watu wengi humu ndani ni vilaza
Aisee,Yan kupitia uzi wa huyu jamaa nimepata picha ya watu wengi humu tuna akili za kuvukia barabara tu....mtoa mada umeeleweka na wachache sn humu,kazi unayo....
 
Wengi hamjasoma mkaelewa. Hapa mwandishi amejaribu kuelezea hoja za msingi za TL na si kama mlivotafsiri.
 
Hongera maandishi kwa kutumia SARCASM katika kufikisha ujumbe. Wataalamu wa fasihi wamekuelewa ila kwa wale ambao hawajakuelewa nitawasaidia.

Kwenye sentensi inayoanza na HASI wewe weka CHANYA. Mfano kwenye "Sintakuchagua" weka "Nitakuchagua".

Na kwenye CHANYA weka Hasi vileve.

Pale anaposema "Hawakutekwa" weka "Walitekwa" au "Umepanda" weka "umeteremka"
Hongera ROBERT HERIEL
 
Hahaha katumwa kupima upepo, nadhani majibu umeyaona.

Kawaambie kura za Lisu ni nyingi sana, wapiga kura ni watanzania sio ccm.
 
wewe nina matako ya batA..wewe na anti pita hamna tofauti labda matundu tu.
 
ROBERT HERIEL: TUNDU LISSU HATAJALI HATA USIPOMCHAGUA HATA USEME NINI

Kwa kuwa kitendo cha kupiga kura ni cha siri kwa yule anayepiga kura, kwa hiyo basi haijalishi hata kama hutampigia kura kwa kuwa itabaki kuwa ni siri yako, pengine unaweza kupiga hiyo kura yako na ikaharibika wala pasipo wewe mwenyewe kutambua.

Thamani ya kura ya mtu huja kuthibitika tu iwapo mchakato wa kumpata kiongozi unaleta matokeo ya haki kwa yule ambaye anaungwa mkono na wapigakura kura wengi. Una kila aina ya haki kupiga kura yako kwa namna ambayo wewe mwenyewe unaamini inakufaa, lkn kuja kutoa mada ya kile ambacho unatarajia kukifanya pengine ndiyo sehemu ya yale matendo ya kusifu na kuabudu kwa magemeo ya kufikiriwa teuzi hapo mbeleni.

Lakini kumbuka, nafasi za teuzi ni chache mno kutokana na wingi wa makada wenye matarajio. Ni heri kuunga mkono juhudi kimya kimya huku ukitambulika kwa weledi na uadilifu wako, kuliko kuunga mkono kwa kupayuka maneno hadharani huku wenye chama chao wakikuona kuwa wewe ni kituko.
 
Juma Lokole kausha tu...mabwabwa mkikamatwa ni kesi..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kweli kweli , wee jamaa kweli ni mzee wa fasihi..yaani umemfanyia lissu kampeni za wazi wazi kuwa raia wampe kura Kama hawana ajira na walioko kwenye ajira hawajaongezewa mishahara wampe kura lissu ..wakulima mazao yao hayana soko hivyo wampe kura lissu ..wafanyabiashara wenye kero na TRA wampe kura lissu ...aiseee Asante Sana mkuu wenye akili timamu tumekusoma na umesomeka ...hongera Sana kwa kampeni ya kifasihi
 
Huwa napenda kusoka thread zako but hii ya leo ni too long kwakweli, next time jitahidi summarize.
Mkuu hujamwelewa tu huyo jamaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa kakupigaje chenga?? Msome vzr utamwelewa tu
 
UPUUZI MTUPU! Kwani Lissu alikwambia anahitaji kura yako? 😳😳😳😳😳 Acha ujinga na KUJIKWEZA kutaka kujihusisha na Lissu.

 
UPUUZI MTUPU! Kwani Lissu alikwambia anahitaji kura yako? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Acha ujinga na KUJIKWEZA kutaka kujihusisha na Lissu.
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujamwelewa ?? mbona yuko wazi tu kuwa Kama huna ajira bc mpe kura lissu ..Kama hujaongezewa mshahara mpe lissu kura ..mfanyabiashara Kama una usumbuliwa na TRA mpe lissu kura ....kakupigaje chenga mkuu ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…