Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

Ila tuache ushabiki , Mimi Ni ccm kijani lakin Hili la rais kuhamishia shuguki za serikali nyumbani kwake sikubaliani nalo , na CDM kuamua kujiweka karantini kwa ajli ya afya zao wako sahihi
sio lazima kila jambo ulijue mengine yaache tu.

kanawe uingie ndani kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akujaalie afya njema na maisha mema huko uliko. Watesi wako huku wanaikimbia corona lakini inawafa waliko..
Bado kitambo kidogo waanguke kama kuku wa kideri Tundu Lissu
 
Nakubaliana na maelezo sababu it is crystal clear. Shida yangu ipo baada ya siku 14 kuisha, sababu kwasasa wabunge wa CCM na vibaraka wao, wapo wanasambaziana ugonjwa. Sasa kurudi kwenye kundi la watu wajinga wagonjwa hapo ndo napata shida

.. Spika angekuwa mwerevu angeshinikiza serikali iwapime wabunge na wafanyakazi wa ofisi yake ili vikao vya bunge viendelee ktk hali ya usalama.

.. Tatizo la Spika na CCM ni kutotaka kukubali ushauri wa kambi ya upinzani hata kama ushauri huo una faida kwa serikali na CCM yenyewe. Kwa mfano, CCM ndio wenye wabunge wengi, kwa hiyo suala la kupimwa lina faida kwao kuliko kwa wapinzani.
 
Watu mazezeta Sana yaliyopandikizwa na kulipwa hela na CCM ili kuvuruga na kuharibu mijadala yenye malengo chanya kwa taifa Letu!?

Mitandao yote ya kijamii imejaa haya mazezeta twetter, Fb, Instagram na huku JF Kasi kusifu tu hata kama ni utumbo, kazi kutukana, kubeza na kudhihaki Mambo ya msingi kisa yametolewa na mtu wasiompenda!!

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Mabeberu haohao wanawapa pesa za bajeti.
 
Rudi nyumbani boss! Hatuhitaji ushauri toka nje ya nchi. Kama umefikia hatua ya kuchochea wabunge wachukuwe posho kwa siku ambazo hawakuwa bungeni, basi! I can see how senility is approaching earlier than expected.
 
Kila nikijaribu kitetea serikali yangu naulizwa kwann raisi hayupo ikulu? Hili swali huwa najikanyaga sana kulijibu maana kwa kweli sijui kwann yupo kule.
Nawe ukashindwa kupata jawabu? Basi kielimu hapo ulipoishia ni halali yako.
 
Eti Dunia nzima ifahamu? WTF, Dunia inafahamu kuhusu Raisi wa JMTZ Magufuli tu na siyo Esta Bulaya au sijui Zito Kabwe, ...
Kila wakati alisema Dunia nzima inafahamu nilipigwa risasi, dunia nzima, dunia nzima, Sijui dunia yake ikoje!
 
Mheshimiwa Lissu uko sahihi sana , mapimbi wa Lumumba wanajitahidi kupotosha lakini kilakitu kiko wazi.
 
Kukosa ubunge ni aibu kubwa kwa mbunge ,inaonekana Mbunge hafuati kanuni zilizowekwa

Anawaabisha wapiga kura wake
kumbe hata aliyeuza nyumba za umma kwa vimada wake anamuaibisha mkewe? na yule aliyempa sumu mzee mangula anamwaibisha nani kama sio shetani
 
Tundu Lissu ni kati ya vijana ambao taifa limepoteza baada ya kugeuka kuwa rebel against his country, hivi huko uliko huwezi kaa kimya ukafanya mambo mengine tofauti na siasa maana siasa kama haokupendi ila unalazimisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…